Hiyo "Sakala mento" haikuwa hivyo. Zamani ilikuwa "Sakala" tu ikimaanisha kichaa. Kuna wimbo wa Tabu Ley na Afrisa Intenationale unaoitwa "Sacramento" ndio ulioleteleza neno "Sakala" kuongezewa neno "mento". Kwa anaetaka kuusikia huo wimbo utafute kwenye YouTube!
Kuna Mji Ndani ya USA unaitwa Sacramento Nadhani ulikuwepo kabla hata ya Tabu Ley Kuzaliwa..Hiyo "Sakala mento" haikuwa hivyo. Zamani ilikuwa "Sakala" tu ikimaanisha kichaa. Kuna wimbo wa Tabu Ley na Afrisa Intenationale unaoitwa "Sacramento" ndio ulioleteleza neno "Sakala" kuongezewa neno "mento". Kwa anaetaka kuusikia huo wimbo utafute kwenye YouTube!
Kula kona
mtu mwenyewe andunje
jaa pipo
Havinitishitishi!
Ngushi
Gangwe
Kafa ulaya= siku hizi mitumba
Willy gamba- ndiyo jack bauer wa zamani
Makumazan aliyevuka maji ya shingo bila p.u.m.b.u. kuloa!
Kuna Mji Ndani ya USA unaitwa Sacramento Nadhani ulikuwepo kabla hata ya Tabu Ley Kuzaliwa..
HAPO VIPI?