Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Compliment na picha basi mkuu. Magari ya Mbagala ukiyavizia na Gongo la Mboto kabla hujapiga picha kwanza lazima mbavu zilegee. Full kicheko. Hawa jamaa wanafikiria sana
Mkuu niwie radhi, bahati mbaya kutokana na kubanwa mbavu kwa kicheko nilishindwa hata kuchukua picha unajua tena na kuchomekeana mitaani unaweza kuita traffic bure..
 
Kuna bajaji moja (sina picha) imeandikwa...... HATA UKIWA NA MAGARI MIA, CHOONI UTAENDA KWA MGUU
 
Nimekutana nayo Karatu..... uploadfromtaptalk1377022627824.jpg
 
Wandugu Wapendwa familia ya JF. Maandishi yaliyoandikwa kwenye vyombo vya usafiri yanafundisha na wakati mwingine kufurahisha tu. Mimi naweka nilichoona, na wengine nawaomba muweke mulichoona. Asanteni, na asubuhi njema, enjoy!

View attachment 110835.
 
hii mada ni nzuri na nimeipenda ila nazani hpa si mahali pake.

ipelekeni inapohusika kisha tujifarague kuchangia.

au kama unakusudia siasa kua CHadema wameamua kufunga ndoa na CUF kwa hio unatuma ujumbe
 
Huu uchafu wako hujui pa kuipeleka? Kwanini unapenda kuchafua jukwaa kama vile chizi anayejisaidia hadharani?
 
Back
Top Bottom