Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

1.jpg

Nadhani hii dawa ni kubwa sana aisee, acha akimbie haiwezi kusema kweli
 
1. Silaha pesa bastola mzigo

2. Dagaa mboga kuku mbwembwe.

3. Heshima pesa shikamoo kelele.

4. Upara bila elimu sawa na kovu.
 
5.Chezea mshahara usichezee kazi.

6. Iga kazi usiige matumizi.

7. Ukitaka kujua shortcut kula nauli.

8. Ukitaka kumjua mume mwenzio muache mkeo.
 
9. Mpenzi wako mpya ndiye mpenzi wa zamani wa mwenzako.

10. Uzee mwisho chalinze mjini kila mtu baby.

11. Ukitaka kujua usiku mrefu kalale polisi
 
5.Chezea mshahara usichezee kazi.

6. Iga kazi usiige matumizi.

7. Ukitaka kujua shortcut kula nauli.

8. Ukitaka kumjua mume mwenzio muache mkeo.

Compliment na picha basi mkuu. Magari ya Mbagala ukiyavizia na Gongo la Mboto kabla hujapiga picha kwanza lazima mbavu zilegee. Full kicheko. Hawa jamaa wanafikiria sana
 
Back
Top Bottom