Misemo ilyopitwa na wakati

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
524
-alo juu mgoje chini.
-msafiri kafiri
-ukubwa dawa
-mgaagaa na upwa hali wali mkavu
-...n.k

Nanyi ongezenu munayokumbukam pia bakita km wanasoma wafanye marekebisho
 
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mliochangia wooote waongo, kumbukeni kuwa msemo hujidhihirisha ukweli wake pale unapotendea sawa sawa na unavyosema. hakuna kupitwa na wakati.
 
Hahaha thx me370 naamin jogi atakubaliana na ww. Umenikumbusha hii:
Kidumu chama cha ma.....
Zidumu fikra za mwenye....

Na....

Hahaha yaana mpaka najihisi raha kwi kwi kwi...
 
Back
Top Bottom