Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Wamshangaa madee kuwa rais wa manzese Mbona hata Jk ni rais wa wabongo.!
 

...gari siyo p.um.b.u kila mwanaume anazaliwa nayo
 
Usiseme niko MATAWI............sema niko MATAWI YA JUU,..............because!
Unaweza ukawa matawi lakini haimaanishi uko juu,.........mfano
Unaweza ukawa matawi ya MCHICHA,...je utakuwa JUU?......sema matawi ya juu.
 
mavi si miba, lakini wee yakanyage miguu tupu uone jinsi utakavorusha mguu, kama unchomwa na moto.
 
chafya ya mpishi haizimi moto
Raha ya kuringa upate wa kumringia
msaada hauna risiti
mgonjwa hajiambukizi
 
mavi bana, hayana miiba wala hayaunguzi kivile, lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee
 
Usilinganishe mimba na kitambi, mimba ina mtoto kitambi kina mav!
 
Kelele za tembo hazimnyimi chura kuogelea..teheeee
 
kaseme tena ,lawama kwetu vyeo,,heshima pesa midevu hata kambale anayo,,,usije mjin,,,,usiempenda kaja
 
Wema ni nusu ya ujinga
Mtaka heri kwa heri hachoki kwaheri
Hata ukioga huendi
 
Daaaah,eti kama mzuri olewa sasa....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…