tehe tehe hii tumeipiga sana tu tena tuliipiga mwaka wa kwanza wakati MLIMANI CITY Inafunguliwa.. MIKATE SHOP RITE 350/= nasiunajua mikate ya shoprite ilivyo mikavu mzee unanunua yakutosha siku hata tatu..
CBE Dodoma kuna:
lampard- kushinda bila kula
viputiputi- sehemu zakusomea/ inatokana na jina la vice principal pale i.e omar kiputiputi
kudesa- kuibia kwenye mtihani
mti mawazo- mti mkubwa wa kufanyia vikao kwa wanafunzi
bila kusahau kauli mbiu ya
"ni hatari sana kuingia na kibuti katika mtihani ila ni hatari zaidi sana kutoingia nacho"