Misamiati 50 iliyonisumbua kichwa sana katika miaka hii 50 ya tanganyika.

mmesahau

'''wanafunzi wanaopata mimba ni viherehere vyao'''

''''sijui kwa nini tanzania ni nchi masikini'''

'''serikali haiwezi kuamrisha mvua inyeshe'''
 
1.Loliondo
2. Soko kuwaka moto.
3. India
4. Kiduku
5. Madai ya walimu 6. NHC
7. REA na TANESCO 8. Spika
 
1. Vicheche
2. Viongozi maslai.
3. Richmond, epa, ewura,
4. Tigo 5. Vijicent
6. Mabilioni ya ******
7. Kilimo kwanza
8. Makinda ya ndege na six
9. Katiba
10. Zenji nchi au sio?
11. MMEMKWA, MMES, MMEVYUO lol!
12. TACAIDS, TBC1
13. Posho za wabunge... anaekubali hoja aseme Ndioo
14. HESLB, NECTA, TCU.
15. Police, JWTZ, JKU, JKT,
16. North Mara, Buzwagi, bulyahulu, Kahama mining!
Kwa miaka 50 hii, upande wangu i thnk hii ndio misamiati ambayo sijapata maana yake na faida ya existance yake....labda km kuna anaejua maanaye aniPM! Smtimes to be tanganyikese is so hectic and frustrating! ISN'T it?
 
Ajali treni Reli ya Kati,MV spice island,MV Bukoba,Shauritanga,Bulyanhulu,Buffallo,Air Msae,Mwembe chai nk
 
1. Ng'atuka
2. Fundi mchundo
3. Ukeketaji
4. Ujasiriamali
5. Miundombinu
6. Mewata
7. Kujamiiana
 
Kwa kuongezea kuna misamiati kama:-

51. Kuishi kwa matumaini
52. Kutoa shilingi mezani
53. Mwongozo wa spika
54. Kima cha chini cha mshahara
55. Mkono wa sweta(Tohara)
56. Rushwa
57. Serikali ya kitaifa
58. Mikoa mipya
59. Bomoabomoa
60. Mgao wa umeme
 
1.halmashauri kuu ya ccm
2.kamati kuu ya ccm
3.mpango mkakati
4.serikali iko mbioni..
5.mchakato
6.mpango mkakati
 
Back
Top Bottom