Anayajua sana ndio sababu ya kukimbilia private serviceNi mtazamo wangu, labda na Watanzania wengi kwamba serikali ina imani na mifumo na mipango yake ya huduma za kijamii mfano Afya, elimu nk. kwa watu wake. Hii ambulance ya Ultimate Security inayoambatana na misafara ya JK kila siku inaashiria hata yeye hana imani na mifumo yake mwenyewe au ndo mkubwa anafaidi PAJA siku zote, Km ilivo kwa wao kupeleka watoto wao ulaya kusoma?
Mifumo ya serkali imekufa hata ya kumsave Mkuu? Bili yake tunaijua? Au intelijensia applies?
Kwa njia hii, ata
yajuaje machungu ya mama mjamzto wa Chongoleani anaefia njian kwa kushindwa fika hospital kwa kukosa referral support?
Sasa jamani tumuombe APUMZIKE na shughuli hizo nzito za upresida!Tatizo la Rais wetu linafahamika na walio karibu nae wanasema limeongezeka zaidi sasa. Niliiona ambulance hiyo juzi wakati anakwenda kutembelea shule ya mkewe kule Rufiji.
Kazi za Bongo technical know who, ujue hapo kuna ndugu yake anahisa Ultimate security. Hospitali zetu hazina huduma hiyo nguvu zote zimeelekezwa ultimate.Ni mtazamo wangu, labda na Watanzania wengi kwamba serikali ina imani na mifumo na mipango yake ya huduma za kijamii mfano Afya, elimu nk. kwa watu wake. Hii ambulance ya Ultimate Security inayoambatana na misafara ya JK kila siku inaashiria hata yeye hana imani na mifumo yake mwenyewe au ndo mkubwa anafaidi PAJA siku zote, Km ilivo kwa wao kupeleka watoto wao ulaya kusoma?
Mifumo ya serkali imekufa hata ya kumsave Mkuu? Bili yake tunaijua? Au intelijensia applies?
Kwa njia hii, ata
yajuaje machungu ya mama mjamzto wa Chongoleani anaefia njian kwa kushindwa fika hospital kwa kukosa referral support?
jiulize nani mmiliki wa Ultimate security na ana uhusiano gani naye - in the back door
Hii ambulance ya Ultimate Security inayoambatana na misafara ya JK kila siku inaashiria hata yeye hana imani na mifumo yake mwenyewe au ndo mkubwa anafaidi PAJA siku zote, Km ilivo kwa wao kupeleka watoto wao ulaya kusoma?
kwani ana matatizo gani makubwa? tunazo dawa nzuri tu za mitishamba kutoka China na Brazili zinatibu magonjwa makubwa kama cancer, tujulisheni tutatoa ushauri kumsaidia Mheshimiwa Raisi wetu.Sasa jamani tumuombe APUMZIKE na shughuli hizo nzito za upresida!
tunamtesa mzee wetu!
Kwa njia hii, ata
yajuaje machungu ya mama mjamzto wa Chongoleani anaefia njian kwa kushindwa fika hospital kwa kukosa referral support?
Ni mtazamo wangu, labda na Watanzania wengi kwamba serikali ina imani na mifumo na mipango yake ya huduma za kijamii mfano Afya, elimu nk. kwa watu wake. Hii ambulance ya Ultimate Security inayoambatana na misafara ya JK kila siku inaashiria hata yeye hana imani na mifumo yake mwenyewe au ndo mkubwa anafaidi PAJA siku zote, Km ilivo kwa wao kupeleka watoto wao ulaya kusoma?