Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Ndo maana nasema kwamba ‘tunaweza’.
Tatizo tu ndo sijui ni nini hasa...hatujiamini? Hatuna ubunifu? Hatuna akili?
What is lacking in us?
Huyo mjinga hao wazungu ndio wanamvalisha nepi huko aliko!
Maderaa yapo kibao hapo kariakoo.....taarifa zako ziko kwa papa!We nani anayekuvalisha maderaa?
Tutapaya adabu ya kujibidisha kufanya kazi kama vile sasa binamu yake Nyani ngabu anavyotupelekeshaSasa mkuu tunapewa misaada kwa miongo zaidi ya mitano sasa na maisha bado magumu,imagine wakianza kutunyima sasa si ndio tutaishi kama mashetani..maana tunabebwa hatubebeki je tutaweza kujibeba? Angalau waendelee kutubeba tu labda ipo siku tutabebeka.
Labda anatafuta mchumba wa kumuoa kapendezewa na MsukumaUnataka kunywa chai na mimi au?
Maisha yangu binafsi hayahusiani hata kidogo na hii mada.
Kama unataka kujua napoishi, njoo PM.
Ndiyo hao viongozi wanapendwa na USA na EU. Kuna mahali wapinzani wananyanyasika kama Uganda na Cameron hata Misri? Pesa ngapi zinapelekwa huko. Vilaza wengi humu wanadhani wazungu wanawaonea huruma wakaishi huko kwao wawajue wasivyotithamini.Kumbuka misaada hiyohiyo inaliwa na viongozi waliopo madarakani.
Siungi mkono tuwe tunategemea misaada, ila tukiangalia kwa umakini tutaona kwamba tatizo la Afrika ni viongozi wa Afrika wenyewe.
Unakuta liwaziri lenye akili kabisa linasaini mkataba wa kipumbavu kabisa kiasi kwamba hata mtu ambae hajawahi kupita darasani hawezi kufanya hivyo
Hahahaa mtoto ngabu unachezea tu kirungu cha padiri!
Vichaa 90% wamo humu mbona? Wote wanaopinga hii mada hawana tofauti na vichaa unaowajua lakini sikusemi weweHilo swali lako ungempelekea kichaa huko mitaa ya luthuli.
Maderaa yapo kibao hapo kariakoo.....taarifa zako ziko kwa papa!
Kapakatwa na Magufuli huyoAliyekupakata wewe nani?
Kapakatwa na Magufuli huyo
Taarifa zako ziko vatikano!Mbona we unachezea mboli ya ustaadh na hatusemi!
Upo Tanzania na uvalishwa nepi na MAGUFULI na bado unalalamika?Huyo mjinga hao wazungu ndio wanamvalisha nepi huko aliko!
@Nyani ngabu na johnthebaptist vp tena Nyie si team 1 mbn mnachenjianaTena unawanyea na kuwanyea kwenye vyoo vyao!
Taarifa zako ziko vatikano!
Hahahaa..... Ulituharibia kiapo cha padiri wetu we katoto!Yapo kibao eeh? Hebu vaa moja halafu jifotoe tukuone..
Hahahaa..... Ulituharibia kiapo cha padiri wetu we katoto!
Hahahaa....... Ngabu mtoto wa sande skuli mambo haya uliyaanza kitambo!Wewe hebu mkatikie Ngosha hapo hadi akukojoze ili uache kutusumbua hapa. Ebo!!
Oyooo taratibu wazeeee basi yaisheHahahaa..... Ulituharibia kiapo cha padiri wetu we katoto!
Hahahaa....... Ngabu mtoto wa sande skuli mambo haya uliyaanza kitambo!