johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,127
Hahahaaaa.........!Kweli ipo tofauti kama jinsi ambavyo hata miye niliona tofauti na weye. Je, ulitaka wafanane tangu mavazi hadi biblia? Pole sana kumbe ulienda kuangalia mavazi na unyenyekevu wa uso tu
Anglican haina tofauti sana na Katoliki!Haya bana sie Waanglicana sijui tunakaa wapi?
Upofu umekujaa, unadhani kurukaruka na kupayuka payuka kama kichaa kwenye majukwaa kama ya akina GJM ndo huduma ya kiroho?hawa ndio wenyewe sasa wanaotoa huduma za kiroho, sio hayo ya wapinga kristo uliyoyataja
Na tena wenye wake wanaosali huko kwa Gwajiboy wajiandae kumegewa. Hasira za kukosa ushindi kwenye kura za maoni kanazihamishia kwenye kuwasugua wake zao!Kwan hicho kitegauchumi Cha GwajiBoy Uno nacho Ni kanisa?
Mi najua Ni danguro ambalo Gwajiboy hujichagulia kondoo mweupe mweupe aliyenona aende kumpiga miti
Haya tupate mawazo ya muumini wa upande wa pili piaKuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mimi ni muislam niliye mfuasi mzuri wa DINI yangu, Ila kiukweli huwa nasuuzika sana kila jumapili ninapofuatilia misa za kanisa katoliki kupitia televisheni.Leo nilifarijika Sana kumuona askofu Ngalalekumtwa akitutuliza na kutujaza hisia za ukweli kabisa.Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na Upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa haya makanisa rasmi na wale wa Huduma za kiroho.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
mkuu hongera kwa codes.......... unaweza fafanua hapo kwa tausi?Mzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.
Ile zawadi ya tausi wale, wale, wale! Nje ya maagano ya mbio za mwenge wa uhuru, ni balaa tupu, ni misiba baada ya misiba. Ingawaje ni " consipiracy theory" bali yanayokwenda kutokea ni kifo rasmi ya chama tawala. Mods lirudisheni jukwaa la dini/imani ili yale yaliyokusudiwa kwa taifa hili, watumishi wa Mungu aliye hai wakapate kuyaweka hadharani.
Asante ila yeye sidhani nisaidieni kumwelewesha. Watu wamebaki kusifia mavazi na makofia wakidhani kuwa zitafungua milango ya mbinguniHahahaaaa.........!
Wachamungu wameelewa!
wapiga ramli mmeanzaMzee wetu "belongs to many societies in his faith" Wakatoliki wamekwisha maliza heshima yao kwake, bado tusubiri wale wa "Paris Club" ambao ni lazima "chronologically" Mkulu wetu akapate kuwa ndiye mwana mrithi na kupewa ile pete ya maagano.