Misa ya leo...!!!

So kwa wapenda ...
wahakikishe wanaridhika kabisaa maana kule hakunaga

Hahaaa.....kule ni mawili.....kwenda kuwa kuni ai kwenda kuimba na malaika na watakatifu nyimbo za kumtukuza Mungu.....
 

Mi huwa nikienda wakati wa sadaka ukifika kuna roho mbili zinaanza kupambana,moja inaniambia nitoe sadaka nyingine inaniambia usitoe niende kunywa supu

Leo ilikuwa ni siku ya mavuno ibada ilikuwa ni moja..So sikwenda...

Asee nyie watu donlucchese tedo na 24hrs mnanivunja mbavu aisee
 
Last edited by a moderator:
hahah kwann mkuu!

Comments zenu tu.....mmoja hataki kutoa sadaka,,,,,,mwingine ndo amesepa mavuno....wewe umestuka kwenye vibahasavya ujenzi...inaonekana michango inakimbiza watu nini? LOL
 
Comments zenu tu.....mmoja hataki kutoa sadaka,,,,,,mwingine ndo amesepa mavuno....wewe umestuka kwenye vibahasavya ujenzi...inaonekana michango inakimbiza watu nini? LOL

Michango balaa mkuu, na hivi kuna ujenzi wa kanisa jipya basi ni msala!
 
Michango balaa mkuu, na hivi kuna ujenzi wa kanisa jipya basi ni msala!

Mim wakati tunaamia tu mbezi tukakutana na ujenzi wa kanisa.....tukachangia mpaka sasa kanisa limekamilika kwa asilimia kubwa....eh imepita miezi tumeanza ujenzi wa kigango chetu.....yani ni harambee ya kila mwezi.....ni mashindano kwa jumuiya....na kuna watu wameamasika.....kuna jumuiya moja kila mwezi yenyewe ya kwanza inatoa mil. 3.....

so michango inachosha mwanzo tu lakini ukizoea unaona kawaida na ni jukumu lako kutoa......

Mana Heri mkono ule unaotoa kuliko kupokea...so unapo pata nafasi ya kumtolea Mungu toa kwa imani naye atakubariki....
 

Umenena vyema mkuu, acha nijipange kwaajili ya mavuno next sunday!
 
Ngoja nianze kusali, nimevutiwa na waamini wenzangu.!!!!!
 
Hakuna muda naupenda kama wa kutakiana amani, hapo ni ishara ibada inaelekea ukingoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…