Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Kama ndio mara ya kwanza kufika Moshi au Arusha utashangaa sana, vijana wanakula majani kama mbuzi...Hatari sana kumbe sio majani ni Mirungi!!!
Huku polisi sio wakali kabisa juu ya utafunaji majani haya, na uuzaji wa mirungi maarufu kama "Miraa".
Na wauzaji wanafahamika na mitaa wanayouzia inafahamika. Ila hakuna mkono wa sheria juu yao.
Kwa wanaojua nini madhara ya matumizi ya mmea huu?? Na kisheria Tanzania inaruhusiwa kuliwa na kuuzwa??