mwana wa mtemi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 374
- 204
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo
Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida
Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema
Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
Wananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!Endeleeni kuota
Kama unaona elimu ni ghali jaribu ujingaWananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!
Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!
Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
Wananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!
Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!
Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyoKwa taarifa yako hakuna maendeleo yanaletwa na mbunge yoyote nchi hii. Bunge ni genge la kula hela za wananchi kisheria. Mfumo wa bunge letu unalifanya litii chochote atakacho rais aliye madarakani fullstop. Kama bunge litakuwa na muundo tofauti na huu hapo itaniingia akilini nikisikia mbunge analeta maendeleo. Kinyume na hapo ubunge hapa Tanzania ni cheo cha kuuzia sura.
Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo
Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao
2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
Baada ya kuona uhamasishaji wa maendeleo katika Wilaya ya Ikungi ambayo wananchi waliifanyia mzaha wakampatia mtembezi kama Vasco da Gama kutoka chama duni cha siasa nchini sasa yaanza kuelewa siasa za maendeleo
Ukitaka kuelewa vizuri fuatilia ziara ya makamu wa Rais Mama Samia huko Singida
Tusikosee 2020, Mkuu wa Wilaya Mh Mtaturu akionesha nia atafaa maana anaijua Ikungi vizuri atashughulikia shida za wananchi vyema
Niweke angalizo matusi hayazuiliwi!
Kigoma Waziri Mkuu ana ziara kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani yule kijana wa Kibembe kutoka Bukavu 2020 ni mwisho kukalia viti Bungeni
Singida Mh Makamu wa Rais ziarani Singida kukagua utekelezaji wa Ilani pamoja na kuhamasisha maendeleo yule Vasco da Gama jimbo la Ikungi atalisikia masikioni 2020 tena alitakiwa alikose mapema mwezi uliopita baada ya kuanza maigizo Ulaya
Mimi mwenyewe nawatukana na ninakutukanaWananchi watafanya nini hawaoni wanavyofedheheshwa nchi nzima inatukanwa na wao wakiwemo!
Mwananchi yoyote Ikungi aliyemchagua Vasco da Gama ajue kama kulikuwa na mradi kutoka kwa wahisani wa maendeleo ikiwa ni pamoja na magonjwa kama UKIMWI akipoteza maisha, kwenye tukio hilo waseme aliyesababisha ni huyo kijana wao maana yeye tumbo lake kwanza wananchi watajijua!
Ndo maana tunasema sasa yatosha!!
Basi tena kufanya makosa
Singida hawajawahi ila 2015 walipitiwa
Bunge lipi?? Au huo mkutano wa vichaaKwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo
Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao
2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
Kama unafurahia kuona Bunge linakosa wabunge wa upinzani, kuna mambo mawili au zaidi; kama sio mdaka makombo kutoka kwa watawala, basi utakuwa mweupe huko juu!Kwa kauli yako Tindo ndiyo maana hata Ruzuku chadema inatumika hovyo hovyo
Juzi juzi Mwenyekiti wa CCM Taifa aliposema atatoa Million 200 kwa TV ya chama macho yaliwatoka watu wakahoji zimetoka wapi hawajui CCM inatumia ruzuku kwa maendeleo ya wananchi wote bila kujali chama wala itikadi zao
2020 Upinzani ukirudi Bungeni hata wabunge 10 itakuwa kazi kubwa ya ziada
Umetumwa na Miraji? Hakuna sehemu alialikwa hajatoa ahadi hewa. Yule ni type ya Kingu wa S. magharibi.
Hata hivyo, pamoja na kuambatana na viongozi wa ccm wilaya kokote aendapo, bado chansi ya kupitishwa ni hafifu.
Mtemi wetu ni Lissu,
Nyie CCM mtajijua, na endapo Dr. Jingu wa Makiungu atashawishika kuchukua fomu, basi Miraji atasubiri sanaa
Wala mimi huwa simshauri atoe ahadi hewa. Huwa namwambia, "baba mdogo toa ulichonacho, usiahidi hewa" lakini hunipuuza. Halafu yeye ni kama mwenyekiti wa ccm wilaya, ni kama hatuna DC! Ubunge pale natabiri ni Gerald Mahami wa CHADEMA vs Dr. Jingu (Katibu mkuu Maendeleo ya jamii) wa CCM. Na mshindi ni Mahami hasa kama Lissu atagombes UraisWewe kweli ni kimeng'enyo
Unataka Mkuu wa Wilaya asambaze noti kila ukimwalika kwako, unampima kwa michango! Wewe ni kizazi cha wapiga deal kaa pembeni
Sisi wana Singida haturudii ujinga kuwapa wapiga deal