Nongeni bar kigurunyembe /suaKambarage bar & pub (SUA)
Acha uzembe, internet ni shule isiyokuwa na mipakaIna maana wewe umesoma vyuo vyote Tupe source ya data ya utafiti wako.
Kwa hio internet inakupa access ya kujua proff anakasaluni kapo mtaa X.Acha uzembe, internet ni shule isiyokuwa na mipaka
Sasa we jiulize mtu kama lipumba, kabudi, mkumbo, tibaijuka, ...... just imagine wote ni weupe kichwani wana ubunifu gani ..... eti profesa una miliki sheli
Weupe kwenye nini? Vijana bwanaSasa we jiulize mtu kama lipumba, kabudi, mkumbo, tibaijuka, ...... just imagine wote ni weupe kichwani wana ubunifu gani ..... eti profesa una miliki sheli
Huna unachojua mwehu wewe! Unafahamu Prof. Mdegela wewe? Wacha nisitaje miradi yake! Mbona wengi tu wanapiga hela kwenye fani zao! Unataka prof. Wa SUA asifuge ng'ombe? Eti unasema ng'ombe wawili, hujawahi kumwona Prof mwenye ranch ya ng'ombe wa nyama na maziwa pale SUA?1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
Kwa wanaojitambua (nchi) maprofesa wanajikita kwenye mambo ya utafiti na utaalam. Huwezi kukuta wanafanya vi-miradi njaa kama hapa kwetu.Wewe ulitaka wabuni miradi gani?
Tupe refference ya maprofessor wakubwa duniani na miradi waliyoanzisha ili tulinganishe
Hakika umetoa familia za maprofesa kutoka mashimoni. Wamepata hasira hao! Ungekuwa karibu wangekuchoma moto kama kibaka.1.Ng'ombe wawili wa maziwa(SUA)
2.BAR(UDSM,OUT,UDOM,SAUT,DUCE,MUCE )
3.lodge (Mzumbe,UDOM)
4.Mboga mboga nusu heka (SUA)
5.Bwawa la samaki(SUA)
6.Stationary-vitini vinapatikana hapo na vitabu vyake(vyuo vyote)
7.Daladala (UDSM,OUT,SUA)
8.Saluni(DUCE,UDOM,MAKUMIRA,MIPANGO DOM,MZUMBE)
9.SHULE (Huyu amejitutumua sana ila usimamizi sio mzuri)
Ongeza na wewe unazo zikumbuka
U prof madesa, kwenye field wapo hoi. Hiyo ndio TanzaniaHuruma.
Miradi ambayo hata std 7 hufanya
HahahahaWafungue na madanguro nguvu kazi ipo ya kutosha
Tibaijuka Ana miliki miradi mikubwa ujue ohoooSasa we jiulize mtu kama lipumba, kabudi, mkumbo, tibaijuka, ...... just imagine wote ni weupe kichwani wana ubunifu gani ..... eti profesa una miliki sheli
Tibaijuka Ana miliki miradi mikubwa ujue ohooo
Ova
Hiyo hela ya kufanya utafiti unawapa wewe?Kwa wanaojitambua (nchi) maprofesa wanajikita kwenye mambo ya utafiti na utaalam. Huwezi kukuta wanafanya vi-miradi njaa kama hapa kwetu.
Vilaza uwa mnajifariji kinoma.Professor alie tuahidi US$ billion 200 za makinikia mpaka leo tuna shida ya $$. Ama kweli tunao ma professors.
Usiwaamini sana hawa kwenye uongozi na delivery huwa wanapigwa na wasomi wa kati
Soma na wewe uwe Profesa tuone.U prof madesa, kwenye field wapo hoi. Hiyo ndio Tanzania