Miradi ya kimkakati ikikamilika CCM inachaguliwa miaka 50 mbele hata bila kampeni!

Mkuu watu hawali majaraja na barabara. Boresha huduma za jamii, mazingira wezeshi ya biashara, utoaji haki sawa ndio vipaumbele muhimu hiyo
 
1. SGR

2. Bwawa la umeme la Nyerere

3. Daraja la Kigongo Busisi

4. Bima ya Afya kwa wote

5. Njia 8 barabara ya Dar - Moto

6. Bandari ya Tanga

Miradi hii na zile barabara za mzunguko kwa kila mkoa na Maji ya ziwa Victoria ni mtaji tosha wa CCM kubakia madarakani kwa miaka 50 hata bila kampeni
Siwapendi ccm,ila Kuna wajinga watasema maendeleo sio vitu.
 
Kilwa km Kilwa kukijengwa madarasa ya wanafunzi ya kisasa na maabara za shule za kisasa kwa ajili ya wanafunzi km yanavyojengwa mikoa mingine ya Geita, Simiyu na Kilimanjaro basi CCM iongoze miaka mingine 100 itakua haina mpinzani tena, Mbunge wa Kilwa najua unapita humu soma hii comment
 
1. SGR

2. Bwawa la umeme la Nyerere

3. Daraja la Kigongo Busisi

4. Bima ya Afya kwa wote

5. Njia 8 barabara ya Dar - Moto

6. Bandari ya Tanga

Miradi hii na zile barabara za mzunguko kwa kila mkoa na Maji ya ziwa Victoria ni mtaji tosha wa CCM kubakia madarakani kwa miaka 50 hata bila kampeni
Kwa taarifa yako maendeleo ni cactch-22 case, solving one problem creates many more other problems
 
1. SGR

2. Bwawa la umeme la Nyerere

3. Daraja la Kigongo Busisi

4. Bima ya Afya kwa wote

5. Njia 8 barabara ya Dar - Moto

6. Bandari ya Tanga

Miradi hii na zile barabara za mzunguko kwa kila mkoa na Maji ya ziwa Victoria ni mtaji tosha wa CCM kubakia madarakani kwa miaka 50 hata bila kampeni
Ni kweli, naunga mkono hoja
P
 
Unaunga vyote vilivyoandikwa na huyu jamaa? Ikiwepo upuuzi wa CCM kuendelea kuchaguliwa miaka 50 ijayo? Embu jaribu kuwa serious japo kidogo mzee Pascal.
Hiyo ya miaka 50 ijayo mbona haikuanza leo!. Angalia tarehe ya bandiko hili Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Tena ni afadhali hawa wanaosema miaka 50, angalia huyu amesema CCM itatawala milele Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
1. SGR

2. Bwawa la umeme la Nyerere

3. Daraja la Kigongo Busisi

4. Bima ya Afya kwa wote

5. Njia 8 barabara ya Dar - Moto

6. Bandari ya Tanga

Miradi hii na zile barabara za mzunguko kwa kila mkoa na Maji ya ziwa Victoria ni mtaji tosha wa CCM kubakia madarakani kwa miaka 50 hata bila kampeni
Naona leo mka'angafu umefika mahali pake
 
Mkuu watu hawali majaraja na barabara. Boresha huduma za jamii, mazingira wezeshi ya biashara, utoaji haki sawa ndio vipaumbele muhimu hiyo
Hiyo biashara itafanyikaje bila bidhaa kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine au itasafirishwa kwenye mishipa yako ya damu.
 
Back
Top Bottom