wapi kenya umesikia njaa hata turkana wameshiba.hapa kazi tu.mwaka ujao sgr lko nai mambo teke teke.Hahahaha. Bure kabisa wewe jamaa
Yaani umeshajua kama ni vilaza na bado unapanic, unatokwa povu, unahara na unamtag kilaza.
Trust me, huenda wewe ni kilaza zaidi,
BTW, tumeona jinsi Kenya upcountry kulivyo hoi.
Mnajenga flyovers wakati watu wanakufa njaa. Kama werevu ndio huo naomba mie nibaki kilaza hivi hivi..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()