Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

Ndiyo sukuma gang yanasema Tanzania ilianza wakati wa magufuli
 
Je hiyo miradi yote uliyoorodhesha kipindi hicho yanatekelezwa magufuli alikuwa katika wizara ipi?tuanzie hapo!
Nimeorodhesha hivyo kwa makusudi maana katika hayo yote niliyoyaoredhesha Magufuri hakuwahi ongoza mmojawapo ya hizo Wizara ili watu wanaosema Tanzania bila Magufuri ingekuwa nchi maskini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…