Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,863
Naomba ufafanuzi hapo kwenye bold; kama ni elimu hi hi tu yenye kutoa maarifa, kwsasa Africa raisi asiye na walau degree 1 wapo wachache sana, hope hata 10 hawafiki, most of them are well educated but bado tupo vile vile, wa kwetu si anazo 3 kabisa!? Nafikiri kipo kitu tofauti we a re missing!ππππππ.. hiyo solution uliyoitoa siyo.. wala haitekelezeki.. nani ataoa albino?
Cha muhimu ni kutafuta maarifa.. watu wengi wapate maarifa.. waondoke kwenye lindi la ujinga