Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
HOJAJI
1. Kwamba amekiri kuwa ALILIDANGANYA Bunge
Je, Ambacho HAKIKUWA cha kweli katika taarifa ile ya kamati ni kipi?
Je, alidanganya kwa faida ya nani?
Kama hakuona haja ya kumhoji mtuhumiwa kwa kuwa ushahidi ulikuwa wazi, Je ni ushaidi upi ambao ulikuwa wazi? Je nao ni miongoni mwa UONGO?
2. Kwamba, KAMA WAPINZANI WANATAKA UKWELI.....
Je, kamati ilisema uongo kwa ajili ya nani?
Je, ukweli utasemwa kwa sababu ya wapinzani na sio wananchi walioilipa kamati?
Je, upinzani haukuwepo wakati ule ndio maana alilidanganya bunge?
3. Kwamba, alilidanganya bunge lakini sasa anataka kusema ukweli.
Je, kama alisema uongo wakati ule, tutaamini vipi kama atakachosema sasa ndicho cha kweli?
Kama alipewa kamati na akasema uongo, huu ukweli wa leo anauleta wapi?
4. Kwamba ushahidi ulikuwa wazi.
Je, kwa nini hajatoa huo ushahidi ili kuithibitishia mahakama juu ya watuhumiwa hawa wanaoachiwa huru?
5. Kama yeye ni mkweli hivyo, kwa nini harudishi fedha alizotumia kwenye kamati na matokeo yake ni uongo?
6. Kwamba kamati nzima imetuhumiwa kuwa haikusema kweli, na wao wamekaa kimywa kudhihirisha KWELI waliongopa. Hivi kamati nzima jamani...
Lord have mercy
7. Je, aliikataa ripoti ya kamati ya uvamizi wa clouds, akiifananisha na kamati aliyokuwemo,mkwamba nayo INAONGOPA kama walivyofanya wao? Je kati ya ushahidi wa IDADI kubwa ya maswali alouliza katika sakata la Richmond na ushahidi wa cctv, na hojaji, upi ni ushahidi DHAHIRI?