Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,516
Mshua hii gesi ya WAMAKONDE tafuta ya WAKWERE.
Jamaa anataka kila kitu kiwekwe Bagamoyo,sijui Nyerere angekuwa na roho hiyo leo mkoa wa Mara ungekuwaje?
Mpaka makonde kaamka, hii ni balaa. Makonde ni watiifu sana, sasa kama na wao wameanza hivi tusubiri tuone Hatma ya CCM kusini itakuaje.
Mpaka makonde kaamka, hii ni balaa. Makonde ni watiifu sana, sasa kama na wao wameanza hivi tusubiri tuone Hatma ya CCM kusini itakuaje.