mipasho bungeni yamchanganya mwananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mipasho bungeni yamchanganya mwananchi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MSEZA MKULU, Jul 16, 2012.

 1. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  ahsante
   

  Attached Files:

 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Nimecheka hadi basi
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Those cartoons speak more loudly than volumes of books and newspapers!!
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  mkuu hivi unakuzaje picha?
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  .
  ==

  Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF


  Mkuu
  Neema unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo


  Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)

  Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa -
  ikisha-load na kuwa kubwa - RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"


  Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF


  Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE


  Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"


  Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo


  Bonyeza OK - then post


  Utakuwa tayari umeshamaliza.


  Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia

  .
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kweli sokoni!!Hakuna maadili tena mjengoni
   
Loading...