Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Wakuu tokea masika tu kuisha mipapai yangu imekuwa na muonekano huu. Nilimtafuta kijana mmoja mlima bustani na kumuomba aliulizie wataalam wa mimea kama ni shambulio, jibu likawa ni ukungu. Sasa naomba wataalam humu JF maana pana wajuzi hapa waliobobea wanijuze.