Mipango ya siri ya Serikali inavuja sana, nini shida?

Mipango ya siri ya Serikali inavuja sana, nini shida?

Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?

Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .

Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?

Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Ufalme umefitinika
 
Tulishaangukaga Kitambo Sana wachache ndio waliubeba mzigo na kugeuka egemeo ila kwa Sasa wenye ngozi ngumu hawapo.

Kazi ya Usalama imegeuka kazi ya kuchomana.
Abduly ndio anasaidia kuushikilia vinginevyo wangekuwa chali
 
Abduly ndio anasaidia kuushikilia vinginevyo wangekuwa chali
Anzia tu hapo 2005 pita pita huko utagundua kadri siku zioivyozidi kwenda Comedy iliingizwa kuwa sehemu ya idara.

Abduli nafasi alishagawaga Muda mrefu.
 
Kuna siri gani ambayo mwananchi ambae ndio msingi wa serikali asiitakiwe kuijua...!

Ukiona mambo yanaendeshwa kwa siri wananchi tusijue ujue kuna walakini kwenye hiyo serikali...!

Serikali yoyote ya wananchi inatakiwa kuendeshwa kwa uwadhi na weredi...hii itafanya kiongozi asiogope kumuachia kijiti yeyote...huo usiri ndio unao sababisha MAFISADI wasitake kuisikia tume huru ya uchaguzi...!​
 
Weka tu ndugu hivi sisi watanzania kwa hapa tulipofika unafikiri kuna la ajabu lakushangaza masikio yetu!!
Kunamengine huwa nimazito ,nikweli hatuipendi CCM lakini tukumbuke kuwa hatuna Tanzania nyingine ,ngoja titifuane kwanza wenyewekwa wenyewe hapo tar 29_10 kitu ambacho ninauhakika wa 98%+ Mama anatembezwa mchana kweupe na hata amini macho yake.
 
Back
Top Bottom