Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,762
- 50,193
Nitag kwenye huo uziKama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?
Nitag kwenye huo uziKama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?
Ebu niione hio ramani, isee kitapikwa kitu cha pilau na kachumbari sufuria kubwa unaandamana weee njaa ikiuma unawahi kwenda kula pilau na maji ndoo moja ya lita 5,Kama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?
Anayetakiwa kufanya hivyo ameshindwa na ameamia utekaji ndiyo mbinu,pekee je mambo makubwa ya kitaifa itakuwaje?Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Labda wamevujisha FAMBA ili watu wauvae mkenge lakini yenyewe halisi ipo haijavujaIle haikuwa shida kubwa ,shida ni mfumo mzima wa ulinzi utakaotumika kulinda maeneo yakimkakati kuwekwa hadharani tena kwenye nyakati ngumu kama hizi dah! Nihatari ikiwa adui akaja kuubaini udhaifu wetu.
Naiomba hata pmKama Ile picha ya ramani ambayo mdau humu JF alisema 29/10 wakienda kupambana na watu barabarani au kwenye vituo vya kura wao wanaenda kushambulia maeneo hayo nyeti?
Ni Mkunda sio Nkundazifike mikononi mwa maadui mala ngapi ?
Kipindi CDF Nkunda ana kili timamunkidogo, alimchana Mh Rais kwa habari ya watu wasio wa Tz kuwepo maeneneo nyeti
Na mimi akikutagNitag kwenye huo uzi
Nimemkumbuka le camanda wakuitwa Laurent Nkunda kutoka Bakongo hapoJina nkunda lina asili ya watu wa wapi?
Sio nkunda ni MkundaNimemkumbuka le camanda wakuitwa Laurent Nkunda kutoka Bakongo hapo
Eastern DRCJina nkunda lina asili ya watu wa wapi?
Ungesema na nyaraka gani imevuja ili tukomment chochote cha kusaidi.Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa maadui zetu , nini itakuwa hatima yetu kama Taifa?
Nikweli tunamtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ila serikali ongezeni udhibiti kwenye eneo la nyaraka ngumu kabla file la udhaifu wetu halijadondokea kwenye mikono ya adui.
Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?