Mipango ya mapumziko ya mwisho wa mwaka

Mipango ya mapumziko ya mwisho wa mwaka

Gharama halisi kwa mtalii yeyote wa ndani awe Mtanzania au raia nchi zinazounda Afrika Mashariki:

Kutoka Kigoma mjini kwenda Hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa usafiri wa boti ya abiria ni Tsh. 4,000
Kuanzia Gombe kurudi mjini ni Tsh. 4,000.
Usafiri huu unapatikana siku zote isipokuwa Jumapili tu.
Muda wa boti kuondoka ni saa 6:00 (saa sita kamili mchana).
Ni usafiri salama tofauti na watu wanavyofikiria.
Ukifika Gombe wafahamishe kuwa nashukia Kasekela ( special area for tourism activities).
Hakuna usafiri wa kwenda na kurudi siku hiyo hiyo isipokuwa kwa ukodi boti binafsi ambazo ni gharama zaidi.

Ukifika Gombe utalipia TSh. 1500 kama kiingilio (entrance fee) na TSh. 500 kama fedha ya kutembea (trekking fee) kwa siku moja. Utapata huduma ya malazi kwa kulipia kwa kichwa na si chumba, yaani mtu mmoja atalipia TSh. 5,000 tu kwa usiku mmoja, kama mpo wawili na mkatumia chumba kimoja mtalipia TSh. 10,000 tu kwa usiku mmoja pia. Gharama ya chakula ni TSh. 5,000 kwa mlo mmoja. Gharama ya vinywaji ni TSh. 1,500 kwa soda na 2,500 kwa bia.

Kumbuka: Unakuja Gombe kwa boti ya abiria, utafika mchana, siku inayofuata utafanya utalii na siku ya tatu utapanda boti hilo linalopita Gombe saa moja kamili ya asubuhi. Hivyo ni vizuri ujiandae kwa malipo ya nights 2 na milo ya siku 2. Kwa mtu asiye na mambo ya luxury sana akijipanga na TSh. 50,000 tu itatosha na chenji itarudi.

Watoto chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kwenda kutalii bali watabaki rest house kwa usalama wa kutosha.

KARIBUNI SANA ndugu!
 
Saadani is easy to reach. Unaweza kuingilia tanga pangani, ama kupitia ruvu. Kuna beach pia, na a few options for hotela. Im a camper so huwa hotel hazinitii wazimu. Ukibeba tent unakuwa na options. Ni pazuri sana ila kama muoga wa joto kama mie, nashauri uende udzungwaama lushoto. Nature is superb, na utafurahia hali ya hewa kwa manufaa yote.
Sijafika Saadani, unaweza kunipa uzoefu wako? Napenda zaidi kupata maoni ya wateja waliotembelea huko kuliko kuangalia website za wamiliki wa maeneo. Nikivutiwa na wadau kama wewe hivi ndio natafuta zaidi kwao na travel & tours agents.
 
Asante kwa details. Hii iko kwenye list yangu kwa kweli. Kuna fukwe pia gombe, kama picha hazijanidanganya?

Saa nane island is a quick relaxation especially ukiwa mwanza kikazi. Manake nusu siku tu inatosha.
Gharama halisi kwa mtalii yeyote wa ndani awe Mtanzania au raia nchi zinazounda Afrika Mashariki:

Kutoka Kigoma mjini kwenda Hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa usafiri wa boti ya abiria ni Tsh. 4,000
Kuanzia Gombe kurudi mjini ni Tsh. 4,000.
Usafiri huu unapatikana siku zote isipokuwa Jumapili tu.
Muda wa boti kuondoka ni saa 6:00 (saa sita kamili mchana).
Ni usafiri salama tofauti na watu wanavyofikiria.
Ukifika Gombe wafahamishe kuwa nashukia Kasekela ( special area for tourism activities).
Hakuna usafiri wa kwenda na kurudi siku hiyo hiyo isipokuwa kwa ukodi boti binafsi ambazo ni gharama zaidi.

Ukifika Gombe utalipia TSh. 1500 kama kiingilio (entrance fee) na TSh. 500 kama fedha ya kutembea (trekking fee) kwa siku moja. Utapata huduma ya malazi kwa kulipia kwa kichwa na si chumba, yaani mtu mmoja atalipia TSh. 5,000 tu kwa usiku mmoja, kama mpo wawili na mkatumia chumba kimoja mtalipia TSh. 10,000 tu kwa usiku mmoja pia. Gharama ya chakula ni TSh. 5,000 kwa mlo mmoja. Gharama ya vinywaji ni TSh. 1,500 kwa soda na 2,500 kwa bia.

Kumbuka: Unakuja Gombe kwa boti ya abiria, utafika mchana, siku inayofuata utafanya utalii na siku ya tatu utapanda boti hilo linalopita Gombe saa moja kamili ya asubuhi. Hivyo ni vizuri ujiandae kwa malipo ya nights 2 na milo ya siku 2. Kwa mtu asiye na mambo ya luxury sana akijipanga na TSh. 50,000 tu itatosha na chenji itarudi.

Watoto chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kwenda kutalii bali watabaki rest house kwa usalama wa kutosha.

KARIBUNI SANA ndugu!
 
Nenda Goma na Bukavu unaweza jifunza namna maisha yalivyotafuti hapa hapa E.Africa itakuongezea kuwa na roho ya huruma zaidi
 
Kwanza ulitakiwa useme we uko wapi, maana tunaweza pendekeza sehemu ambayo upo kila leo!

Any way njo A-town!

Habari wana MMU?

Naam, mwisho wa mwaka ndio huo na festival season yakaribia.

Huwa napenda kusafiri kipindi hiki, ila kwa sasa naona nimeishiwa plans.

Naomba kwa uzoefu wenu mnipe ushauri wa maeneo ambayo mnaona yanavutia na yatatufaa mimi na laaziz wangu twende kupumzika. Iwe ni ndani ya nchi au nje ya nchi ni sawa.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
pumzika kabla ama before xmass, upate muda wa kuabudu kama ni mhusika.

Afu wanaoruhusiwa kupumzika ni wale tu waliotimiza malengo yao ya mwaka.
 
Aaah, weeh! Malengo yenyewe hayaishi tu kila mwaka. Who cares, life is short! Hukawii kuzeeka na kufulia bila lengo hata moja kutimia. Kula maisha ni.lazma, sawa tu na kuokoka na kufa kulivyo lazma. Lol
pumzika kabla ama before xmass, upate muda wa kuabudu kama ni mhusika.

Afu wanaoruhusiwa kupumzika ni wale tu waliotimiza malengo yao ya mwaka.
 
Angalia maeneo uliyoyatembelea halafu ujue yapi hujafika na uende huko. Na pia unapendelea nini!!

mfano sisi kila mwaka tunaenda eneo tofauti iwe ndani/nje ya Tz..Na laaziz mwaka huu mwanzoni tulitembelea Ngorongoro Crater ila tulilala maeneo ya Karatu. (cheki hii hoteli Country Lodge Karatu). Hotel ina swimming pool, pametuliaaa, customer service nzuri sana. Yaani kama vile tulikuwa paradise yetu.
December mwishoni itakuwa Ruaha. Ndiyo tunamalizia booking!!
 
Kama utakuwa hutaki kusafiri sana nenda pugu hill camp site outside of dar es salaam city, lakini you can go to matema beach huko sumbawanga you will enjoy alot.

All za best
 
Kigoma nako mnakusahau sana lakini nakuambia ni sehemu moja nzuri sana kwa mapumziko, ziwa Tanganyika tunalo, na mbuga za wanyama tunazo, hotel ya lake Tanganyika tunayo, "Reka dutigite uwutwanka ameneke"
 
Gharama halisi kwa mtalii yeyote wa ndani awe Mtanzania au raia nchi zinazounda Afrika Mashariki:

Kutoka Kigoma mjini kwenda Hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa usafiri wa boti ya abiria ni Tsh. 4,000
Kuanzia Gombe kurudi mjini ni Tsh. 4,000.
Usafiri huu unapatikana siku zote isipokuwa Jumapili tu.
Muda wa boti kuondoka ni saa 6:00 (saa sita kamili mchana).
Ni usafiri salama tofauti na watu wanavyofikiria.
Ukifika Gombe wafahamishe kuwa nashukia Kasekela ( special area for tourism activities).
Hakuna usafiri wa kwenda na kurudi siku hiyo hiyo isipokuwa kwa ukodi boti binafsi ambazo ni gharama zaidi.

Ukifika Gombe utalipia TSh. 1500 kama kiingilio (entrance fee) na TSh. 500 kama fedha ya kutembea (trekking fee) kwa siku moja. Utapata huduma ya malazi kwa kulipia kwa kichwa na si chumba, yaani mtu mmoja atalipia TSh. 5,000 tu kwa usiku mmoja, kama mpo wawili na mkatumia chumba kimoja mtalipia TSh. 10,000 tu kwa usiku mmoja pia. Gharama ya chakula ni TSh. 5,000 kwa mlo mmoja. Gharama ya vinywaji ni TSh. 1,500 kwa soda na 2,500 kwa bia.

Kumbuka: Unakuja Gombe kwa boti ya abiria, utafika mchana, siku inayofuata utafanya utalii na siku ya tatu utapanda boti hilo linalopita Gombe saa moja kamili ya asubuhi. Hivyo ni vizuri ujiandae kwa malipo ya nights 2 na milo ya siku 2. Kwa mtu asiye na mambo ya luxury sana akijipanga na TSh. 50,000 tu itatosha na chenji itarudi.

Watoto chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kwenda kutalii bali watabaki rest house kwa usalama wa kutosha.

KARIBUNI SANA ndugu!

Hii imenivutia sana. Nakushukuru.
 
Back
Top Bottom