Mipango ya 2015 Timu ya Lowassa yateua msemaji!

kumbe?

Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo

Mwinyi kwao ni Mkuranga.........!!!

Zanzibar hawajawahi kutoa Rais.
 
nasubiri nguvu ya fedha itakavyofanya kazi maana el namfahamu vizuri kwenye sekta hii ya ugawaji wa fedha kwa ajili ya maendeleo
 
Msemaji wa EL, hata masuala ya chumbani? akili wakati wa njaa, na tumbo deni la maisha. Mwenye njaa hana miiko, njaa, njaa
 
Watu wote wanaomkataa Lowasa pamoja na tofauti zao za Dini,Kabila,Elimu,Kipato,Makazi,Rangi,jinsia,Madaraka wanafanana kitu Kimoja WANA UHABA WA UZALENDO kwa Nchi!
 
kumbe?

Rais wa 1-Kanda ya Ziwa-Nyerere
Rais wa 2-Zanzibar-Mwinyi
Rais wa 3-Kusini -Mkapa
Rais wa 4-Pwani-Kkiwete
Rais wa 5-Kaskazini-LOWASA
upo

Ahhhhahhhhhaahhhhaaaa, sawa liongo tumekusikia!
 
Ni PM NO: YA MSEMAJI NA YA NEXT PREZDA MKUU LABDA NTAAMBULIA U DC.



 
hiyo mijadala tulishaimaliza sasa tunajadili namna ya kuongoza serikaliini ya LOWASA.labda niulize hayo,ya nani atakuwa rais hayo hatujadili tena kwani anajulikana

sasa mbona unafanya kazi ya Liongo?
 

mh!!!hv kumbe una wivu hivyo kama mama yako!
 
Manywele akiwa rahisi, navuka mpaka kwenda ishi nje ya nchi-Nape.
 
Mwinyi kwao ni Mkuranga.........!!!

Zanzibar hawajawahi kutoa Rais.

Du! nasikia hata waziri wa afya aliwahi kuwa mbunge wa wilaya moja ya karibu na dsm, itakuwa ni huko mkuranga eee! sasa mbona sasa katokea zenj?
 
ndugu liongo , ni kweli kwamba mmemteua Kapuya kuwa waziri mkuu ? Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
Compare and constract the relationship btn Aboubakari Liongo and Pasco wa JF.
 
Last edited by a moderator:
Du! nasikia hata waziri wa afya aliwahi kuwa mbunge wa wilaya moja ya karibu na dsm, itakuwa ni huko mkuranga eee! sasa mbona sasa katokea zenj?

kijana , hiyo inaitwa Keusi au Kekundu .
 

Wenzenu walinunuliwa simu kuja kufanya fujo JF na kweli tumewaona .Now wewe na wenzake mmpewa nini kukabiliana na Timu Membe nk ?Au ndiyo ile ile Timu Makamba ndiyo naambiwa ni Timu Lowasa ?
 
Compare and constract the relationship btn Aboubakari Liongo and Pasco wa JF.
No comparison, no contrast, relationship iliyopo ni kati ya Liongo na Pascal Mayalla ambayo hata mimi naijua, na sio sio mimi Pasco wa jf!. (kumbuka sheria zetu!)

Ila pia kwa vile naijua, naweza kuwaambia!.

Paskali na Abou ni ndugu!, walisoma darasa moja TSJ, wakaishi shared room moja, wakashare mambo mengi ya ujana, kiasi kwamba room yao hata hawakuhitaji "exile"!. Wakaja kuajiriwa siku moja RTD, wakaanza kazi pamoja, by that time kila mmoja akikaa kwa wazazi wake!. Wakatambulishana kwa wazazi, Wakaanza maisha ya kujitegemea pamoja, wakaishi nyumba moja a 2 bedroom flat pale Shariif Shamba Ilala huku wakishare sebule na jiko. Wakaoa pamoja, na wote kuishi na wake zao nyumba moja mpaka watoto walipo zaliwa ile 2-bedroom flat haikutosha, ndipo mmoja akahama na kumwachia mwenzake!.

1995 wote wakatimka RTD, mmoja akaenda ITV, mwingine DTV.

Pasco.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…