Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT

Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
225
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.

Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
 
Mnataka sifa kupitia mgongo wa CDM? Kumbe nyie ACT adui yenu mkubwa ni CDM? Kupambana na CDM ndiyo ilani yenu ya uchaguzi ujao?
 
Chadema acheni kuwahonga vijana wa ACT ili wavuruge chama mnaua demokrasia
 
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Kafie mbele! CDM haina muda na takataka hizi!
 
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.

Mfa maji haishi kutapatapa Chadema hawana mda wakupigiana kelele na Act
 
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.

mbona act ilishavurugika zamani sana?we uko dunia ya ngapi?yaani ilivurugika kabla ya kuvurugwa
 
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.

Hivi na ninyi bila aibu mnajiona ni chama? Chama gani.kinachopingana na upinzani? Kuna tofauti gani kati ya ACT na UVCCM? I don't see any difference at all.
 
Back
Top Bottom