Nisaidieni jamani wangine hatuijui hiyo act au nikampuni ya kuzoa takataka?
Ni kashirika fulani ka kutoa watu funza Kigoma!

Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.

Cdm kuihujumu act ni sawa na mtu mwenye akili timamu kuitandika viboko maiti.
Propaganda uchwara! ACT yenu hiyo imekwishakufa hata kabla ya kuzaliwa!
Mfa maji haishi kutapatapa Chadema hawana mda wakupigiana kelele na Act
mbona act ilishavurugika zamani sana?we uko dunia ya ngapi?yaani ilivurugika kabla ya kuvurugwa
Cdm kuihujumu act ni sawa na mtu mwenye akili timamu kuitandika viboko maiti.
Hivi na ninyi bila aibu mnajiona ni chama? Chama gani.kinachopingana na upinzani? Kuna tofauti gani kati ya ACT na UVCCM? I don't see any difference at all.
Pia nikikundi cha mafundi cherehani pale ujiji.
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.
Mkuu naongezea tu! Chadema kuihujumu act ni sawa na Baba mwenye akili timamu kufanya mapenzi na kitoto kichanga.
Chadema ina sifa gani? vurugu na maandamano?