Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT

Mipango miovu ya CHADEMA kuivuruga ACT

Haaaaa....hamlali kisa ACT...
kuwa CDM nisawa na kupiga mashine li kahaba bila ndom...

Eti chama cha democrasia....miku....yenu democrasia gana m2 ukihoji unaitwa msaliti,?

Eti maendeleo....maendeleo gani mmeleta tangu mme anza kula ruzuku?..hata darasa moja lakina kayumba hamjawahi kujenga...hata choo cha watoto wachekechea hamja wahi kujenga....nyie ni maendeleo gani mnayo maanisha?

Au maandamano na fujo plus kudandia hoja za watu....oneni mfano NCCR wana kesi na Kafulila ila bado wana mkubali na wana fanya kazi pamoja..
Nyie chama gan hata maamuzi ya mahakama ham yakubali?

siku mkishika nchi 70% ya wapinzani wenu watauliwa....ndo mana siwapendi nyie jamaa....thats y we need the part wchich will be mbadala wa CDM na CCM cz mmelewa sifa.

Mtasugua sana bench kusubiria kuifikia Chadema...kudhani kuwa Mtaifikia chadema ni sawa na kuota kuwa wewe ndiye baba mwenye mji wakati baba yako mzazi yupo.
 
Dr. Slaa hatajibu upuuzi huu hana muda, kama hamna wagombea wa kugombea S/M na kutafuta mtu wa kufa naye mfe wenyewe. CHADEMA/UKAWA huwa hatuna utaratibu wa kujibu upuuzi na kuwajibu wapuuzi, tupo busy na maswala makubwa na muhimu ya kitaifa.
 
Kikao kilichofanyika wiki iliyopita kilichoongozwa na Dr. Slaa kimepanga kuhakikisha chama cha ACT hakipati ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema kimepanga kuwarubuni wagombea wa ACT na kukihujumu kwa kukichafua kwenye vyombo vya habari kwa kutumia kurugenzi ya habari..
Kuwalisha maneno vijana wa ACT ili kuvuruga Chama.
Chadema acheni michezo michafu kuwahonga vijana wa ACT huko ni matumizi mabaya ya ruzuku.

akili ndogo hyo... sasa ACT wana nini hadi CHADEMA ipoteze muda kuiwaza??

Hamnaa hata mtaji WA uongozi WA chama chenu wilaya mnataka serikali za mitaa....?

aibu hyo umekurupuka mleta mada
 
Chadema ni express train inayosafiri kwa spidi kali ya kilomita 320 kwa saa.
Kwa spidi hii kama unakatiza kilegelege kwenye reli zake kwenda kunywa gongo
lazima ikukwaruze! Ukilalamika wewe ni mjinga sana.Kwa nini usisubiri
treni ipite ndo ukatize zako?

ACT punguzeni ulegelege wenu!
 
Uchafu na dhambi ni kurubuni tena pesa kwa kutageti kundi fulani badala ya kuwashawishi kwa kuwapa sera mbadala
 
Back
Top Bottom