Torero
Senior Member
- Dec 22, 2017
- 122
- 138
"Zanzibar ni nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar" Ibara ya Kwanza ya Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 toleo la 2010 inasema hivi.
Wakati Ibara ya pili inasema : " Zanzibar ni Miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" Kwa lengo la kuelew baadhi tu ya Sheria Sheria nawaombeni Masada kuweza kutambua kwa uhalisia hasa mipaka ya Zanzibar na Tanganyika.
Oh! Sorry Tanzania bara. Wala siyo dhambi kutaka kuelewa kwa sababu mipaka yote kati ya mkoa na Mkoa naelewa kwa mfano Sina shida mipaka iliyopo kati ya Mkoa wa Iringa na Mbeya naielewa shida IPO kati ya mipaka ya Zanzibar na Tanzania Bara.
Wajuzi naomba msaada. Katiba ya Jamhuri ya Muungano, 1977 inasemaje kuhusu jambo hili? Sheria za Kimataifa Zinasemaje ?