Mipaka Mbalimbali ya nchi yenye kutatanisha

Mipaka Mbalimbali ya nchi yenye kutatanisha

NENO UZALENDO UKILICHUNGUZA LINAMAANISHA UBAGUZI,UBINAFSI NA CHUKI.LINAKUFUNDISHA KUJIPENDA MWENYEWE KWANZA.
 
hakuna ya Tz na kenya

Naibu Waziri wa Ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi,Angelina Mabula(kushoto)akikagua mawe yaliyopo katika mpaka wa Tanzania na kenya wilayani Rombo,kulia ni ...


IPO ona hii
Mabula%2B2.jpg
 
international-borders-19-1.jpeg
international-borders-9-1.jpeg
international-borders-7-1.jpeg
international-borders-1-1.jpeg
international-borders-22__700.jpeg


Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
 
USA na Mexico.. Hawa jamaa wameweka net ya volleyball mpakani wanacheza "mechi ya kimataifa"
international-borders-11-1.jpeg


Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
 
Hao hawachomeani vifaranga vya kuku wala kutaifishiana magombe yao. Safi sana bongo kwetu. Kuna majani ya kenya na Tz. Pia kuku wa kenya na Tz. Sio wanyama kujivukia mipaka bila kibali cha uhamiaji wanyama. Ngoja nyumbu wavuke tena mwakani wakione cha moto
 
Back
Top Bottom