Kms tena? Hii si ya office na windows?Download program inaitwa KMSpico kisha install alaf run kweny computer yako kisha yenye ita search iyo software ambayo iko lock kisha utabonyeza button nyekundu bas ita unlock iyo software
Mkuu huwa kudownload setup kisha kutumia trial na utegemee hio hio ueke tu key i activate ni ngumu.
Kama unataka kuchakachua inabidi utoe hio na kuweka nyengine ambayo ina kichakachuzi chake kabisa.
Mfano TPB naona hapa ipo 17.1 ndio latest iliochakachuliwa
The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site