Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Hajachomoka, kaingia Afrika Kusini kwa raha zake, kamaliza shughuli iliyompeleka na kaondoka kwa raha zake. Wacha kupotosha watu. Omar Bashir haendi mahala kabla hajahakikishiwa usalama wake kutokana na msimamo na makubaliano ya AU. Na msimamo wa AU ni kuwa Bashir hana hatia ya kukamatwa.
Ubongo wako una matatizoHii miviongozi ya afrika inabidi kunyongwa tu. Inauchu sn wa madaraka! Iko tayari raia wao wafe hata wote lkn ibaki madarakani.
Nasikitika sn anayetetea viongozi wa afrika