Minister Sospeter Muhongo: THE ARROGANT

Lijamaa lipo ARROGANT lakini linajiamini sana pia linajua lina fanya nini!!!!!
siyo jitu la mchezo mchezo.
lipigaji ila linafanya kazi.
 
Hivi Prof Muhongo na yule RC machachari Mulongo ni ndugu au wana kauhusiano maana wote wanafanana kwa tabia na wametumbuliwa. Hawa ndo akina chikaka ,masika, chikomati ,mwamba, omuuta, au......?
 
Back
Top Bottom