Minister Sospeter Muhongo: THE ARROGANT

Minister Sospeter Muhongo: THE ARROGANT

tumia ubongo wako utaelewa tu ndugu
bank gani itakayoweza kumkopesha mtanzania mmoja kiasi hicho cha fedha?
do u think it is easy like that????
Ok hata akikopeshwa Mengi anao mainjinia wa kumfanyia PID na PDO? ataweza kuwaipa mainjinia wa nje?
tunao wasomi katika fani hiyo?
ili kuweza kupatiwa mikopo lazima bank zinaangalia technical competence and financial capacity yake, previous expirience katika gas,applicants plan for exploration na expolitation (plani ya mwombaji katika utafutaji na uchimbaji wa gas, ni mtanzania gani mwenye hivi vigezo? Mfano Mengi mtaji wake ni Bilion 300 na kitu kama sijakosea huyu hajafika hata robo ya kuweza kukopeshwa..
watanzania wakiambiwa waungane waform joint venture hawataki ubinafsi mwingi, wataweza wapi?
serikali ya tanzania tunajua uwezo wa kuwakopesha watu haina kwa sasa,,
so we still depend on foreign companies o exploit our resources.
Ninachopinga JK leo kasema tutapewa 65% kisha 35% watachukua wao
This is not possible kabisa. kwa nchi kama Norway serikali inachukua only 28% kama income tax ya gas na 50% ni special tax inayotozwa kutokana na shughuli zote za uzalishaji kama kuweka mitambo,kusafirisha gas,waajiriwa katika mitambo hiyo ya gas,nk...jumla 78%...na katika makampuni hayo serikali chini ya statoil ndio wanakuwa operator wa hiyo gas wanajua kila kinachoendelea. statoil ni operator and at the sama time ni kampuni ya uchimbaji nao wanakua ndani.
I dont know kama Mr President ameongea kwa kushauriwa au ndio kaahidiwa hivo na makampuni haya ya nje kitu ambacho kwao hawalipi hivo.
kwa sasa serikali ihangaike kusomesha wazawa ili baadae waje kuitumikia serikali na sheria madhubuti inahitajika.

Nani kasema ni lazima iwe Mtanzania mmoja? Watanzania wakiambiwa waungane hawataki ndiyo license ya kuwatukana?

Kwa nini usitoe fursa, tangaza tenda,waachie wa submit bids, then unawakatalia on the merit? Na kuacha hizi discouraging rhetoric?
 
$430 billion mTanzania gani anazo???
Mkuu,
Mbona ulichoandika hapa na kilichosemwa hapo chini vinapishana!
Prof Sospeter Muhongo, ruled out any possibility of giving any favours to locals, ostensibly to facilitate their participation in the emerging sector valued at $430 billion.

Haya makampuni yanaraise funds kutoka reports zao labda Ukiondoa makampuni makubwa kama Shell,Bp and the like ndio wanaweza kuwa na capitals za kujitosheleza.
Kwenye hii biashara kuna harufu ya umafia.Wanajuha wazawa wakiwekeza mambo mengi yatajulikana.
 
labda a food for thought tujiulize wananchi wa chunya mbeya wamefaidika nn na dhahabu iliyochimbwa pale enzi za utawala wa kiingereza?? kulikua na gold rush chunya miaka ya 1920's i bet watanzania wengi hata hawajui kwamba chunya kulikua na dhahabu ya kufa mtu lakini leo yako mashimo na umaskini uko pale pale, ile dhahbu nzuri na kwa wingi yote ikabebwa sasa ivi kuna wachimbaj wadogo wadogo tu ndio maana kina nyerere kwa mfano wa chunya wakaamua madini yabaki ardhini mpaka tutapojenga capacity lakini leo kina muhongo na kiburi chao chote wanataka kuturudisha enzi zile za dhahabu ya chunya!!!
 
watanzania ampendi kuambiwa ukweli pesa mlizonazo ni za kuwekeza kwenye juice,mandazi, unga, mchele na ice cream.

ni mtanzania gani mwenye uwezo wa kutoa dolla billion 2 kuwekeza?

uyo mengi anapigania masilahi yake awe dalali. mwenyewe ashakiri mtaji wa pesa na teknolojia hawana.

biashara mnayoweza ni nguo, juice, soda na ice cream. nchi masikin sana hii.

bajeti ya wallmart tu inazidi nchi zote za africa mashariki.

uyo mengi utajiri wake amezidiwa na ata hakina 50 cent, birdman, madona. dr dree. beyonce, jayz p didy, lil wayne, master p etc.

hivi mitaji ya gas mnaijua?
Nimecheka sana!
 
muhongo lazima awapigeni sana fimbo za mgongo. utendaji wake uliotukuka ndio mwiba kwenu

Mkuu, hawa jamaa ndio zao. Hivi kwa nini hawakubali uwakilishi wa TPDC? Wanataka wafanye ya kwao binafsi. Mwenye uwezo wa kushiriki na ashiriki hakuna aliyewazuia. Tatizo wanataka upendeleo maalum ili baadae walangue hivyo vitalu.

Wakati wa kubinafsisha Kilimanjaro Hotel Mengi alipiga sana kelele. Akapewa eneo zuri katikati ya mji ajenge hiyo hotel akaishia kuuza tena kwa hao anaowaita mapapa wa rushwa.

Anamiliki vitalu vingi vya madini kupitia kampuni zake kadhaa na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya kulangua vitalu hivyo.
Sospeter Muhongo ni msomi na mwadilifu na lazima aonekana ana kiburi mbele ya wapenda dezo kama Mengi.

Tunataka gesi na mafuta vinufaishe watanzania wote sio wachache waliopendelewa. Wakisha shiba hizo hela ndio yale makombo wanakuja kulisha walemavu pale Diamond Jubilee.
 
Mkuu, hawa jamaa ndio zao. Hivi kwa nini hawakubali uwakilishi wa TPDC? Wanataka wafanye ya kwao binafsi. Mwenye uwezo wa kushiriki na ashiriki hakuna aliyewazuia. Tatizo wanataka upendeleo maalum ili baadae walangue hivyo vitalu.

Wakati wa kubinafsisha Kilimanjaro Hotel Mengi alipiga sana kelele. Akapewa eneo zuri katikati ya mji ajenge hiyo hotel akaishia kuuza tena kwa hao anaowaita mapapa wa rushwa.

Anamiliki vitalu vingi vya madini kupitia kampuni zake kadhaa na hakuna maendeleo yoyote zaidi ya kulangua vitalu hivyo.
Sospeter Muhongo ni msomi na mwadilifu na lazima aonekana ana kiburi mbele ya wapenda dezo kama Mengi.

Tunataka gesi na mafuta vinufaishe watanzania wote sio wachache waliopendelewa. Wakisha shiba hizo hela ndio yale makombo wanakuja kulisha walemavu pale Diamond Jubilee.

Karibia makampuni yote yaliyopewa vitalu zaidi ya makampuni makubwa kama BP,Shell,Statoil yanaviuza hivyo vitalu.

Kama makampuni ya nje yanafanya hivyo kwa nini tuwazibie Watanzania wenzetu au ndio roho ya kwanini?
 
Tatizo ni serikali ya ccm kukurupuka kwenye gas na mafuta kama ilivyokurupuka kwenye katiba.
Mpaka sasa gas yote imechukuliwa na makampuni yafuatayo:
1. STATOIL YA SERIKALI YA NORWAY
2. BRITISH GAS SERIKALI YA UINGEREZA
3. EXXON MOBILE SERIKALI YA AMERIKA
4. PETROBRAS SERIKALI YA BRAZIL
5. ALBBURTAN PRIVATE -AMERICAN
6. OPHILS PRIVATE AMERIKA
Na ujenzi wa Bomba la kusafirisha gas kwenda Dubai limeishapita Somaria katika bahari ya hindi. Porojo za muhongo kuwa watanganyika hawawezi ni danganya toto mzigo umegawanywa na umekwisha.
Serikali ilijidanganya kuanza kuuza vitaru kabla ya kusomesha wataalam wa gas na kwa hali hii itakuwa kama dhahabu na madini mengineyo kanda ya ziwa na kwingineko. KAGARABAHO!
 
Kuna mitakataka ya kutosha humu jf. Mungu tusaidie....
 
Tatizo la elimu ndogo ya shule na vyuo vya kata ndio maana hujui mzee Mengi anapigania nini!
Watanzania hawajui Mengi anapigania mini,tujulishe basis we uliye tarishi wake anachopigania.kifupi mwenye Mali anajua anachopigania,Mimi nawe sijui tunachopigania,wake up be.
 
tuache usanii
hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye mafuta na gas
Kina Mengi wanataka vitalu ili wavifanyie udalali kwa makampuni ya nje.
makampuni kama statoil na xxenomobil yana mitaji mikubwa sana
na wanapata support pia katika nchi zao interms of loans
Hizo $430 billion mTanzania gani anazo???
Tuwe wakweli, labda waungane kina Mengi kumi wataweza kuwa na installation facilities za block moja. Lazima pia iangaliwe capacity,previous works katika gas field nk..
waziri sio arrogant kasema ukweli

Tabia ya kuendelea kudharau watanzania ndiyo chanzo cha kuendelea kuwa tegemezi leo kesho na kesho kutwa.
Wazungu wanakuja kuwekeza nchini wakiwa na kaunta buks tu na makablasha ya maandiko ya miradi wanarudi kwao na bilions of shilings....

Bad inaf wanakuja hawana capital wanakopeshwa na banks za nchini....

Leo mtanzania akidai kuendesha kitaru watu mnakuja juu....shame on yu all walafi na msioona mbali...

I pray Muhongo doesnt make it from Ripoti ya Escrow account saga.
 
Energy and Minerals
minister Sospeter Muhongo yesterday
heightened the rift between the
executive and the legislative arms of
government by reiterating that his
ministry will not submit the oil and
natural gas production sharing
agreements (PSAs) for scrutiny by the
Public Accounts Committee.
 
I wish nimwone huyu Muhongo kwenye cabinet meetings...

atakuwa anawaburuza wenzake sana mbele ya JK

For your information.he the most arrogant minister this country has ever had. He is just learned but not educated cause he can never cope with anybody because of his arrogance.
 
Energy and Minerals
minister Sospeter Muhongo yesterday
heightened the rift between the
executive and the legislative arms of
government by reiterating that his
ministry will not submit the oil and
natural gas production sharing
agreements (PSAs) for scrutiny by the
Public Accounts Committee.

By the way, who does he think he is? And who is this Mr Minister working for? I would wish to know.
 
Back
Top Bottom