Kwajinsi ulivyo mpuuzi naona umeshindwa kujibu hoja badala yake umeishia kujikweza kwa kutaja umeweka nini na malipo unayo yafanya ili kusongesha duara/local mining hole.Acha kukurupuka, Plants nyingi zimeajiri Ma geologist kwani pamoja na kuchakata dhahabu wengi wamejikita katika kuwekeza maeneo ya uchimbaji wakitumia wataalamu kama hawa. Kwa taarifa yako tu unavyojitia mjuaji mimi nimewekeza katika uchimbaji niki share na Geologist mmoja ambaye pia amenisaidia sana kupata eneo la uchimbaji lisilo na gharama kubwa za uendeshaji kama la awali ambalo lina maji mengi sana hivyo gharama ya kuendesha natumia pesa nyingi katika Ku Support shimo kwa magogo maarufu kama matimba tangu mwanzo wa shimo hadi sasa. Natumia gharama kubwa katika kunyonya maji kulingana na msimamizi wa shughuli zangu huko(mdogo wangu pamoja na baba mzazi) kwa siku moja natumia zaidi ya litre 15 za petrol. Tangia nishirikiane na huyu Geologist kwanza ameniepusha gharama za awali kwa kuzingatia kuwa na yeye ni shareholder. Unasema nikutajie ni wapi!! ndugu sina mjadala na wewe kwani maeneo ya Bulyanhulu ndiko makuzi yangu
Itapendeza kama jamaa atabaki kwenye hoja, kuliko kutoa Omo.... tehteehhhmkuu usikasiriki tuna mengi ya kujifunza hapa
Mkuu, ebu acha kupotosha aiseee.....No brother huwa nachukia sana pale mtu kwa kutaka tu sifa za kijinga anakuja kukupotezea malengo ili watu wengine wasijifunze. Mimi sikutaka kuchimba kwa kukurupuka tena siku hizi ndugu ukipata Geologist unachimba kwa kujiamini na sio kama zamani unabahatisha
Nakumbuka kuna post moja Dada mmoja aliweka private SMS zako za namna ulivyo kimaadili na ukaishia kumtukana. Kwa kifupi mimi siko katika style hiyoKwajinsi ulivyo mpuuzi naona umeshindwa kujibu hoja badala yake umeishia kujikweza kwa kutaja umeweka nini na malipo unayo yafanya ili kusongesha duara/local mining hole.
Kimsingi hayupo jiolojia anae fungamana moja kwa moja na uchenjuaji wa madini, kazi ya jiolojia ni kucheza na aina ama matabaka ya miamba. Jiolojia anahusika sana katika kuujua mwamba na kutoa maelekezo ya aina ya mwamba na viashiria vya kama mwamba Una madini.
Hivyo nakukosoa kwa sauti kwamba Geologist haisiki na hafungamani kabisa na mambo ya Processing plant, na badala yake huko kwenye processing anae husika ni Chemicals Engineer pamoja na Metallurgist.
Naona hapa unazungumzia mambo ya mining kwa kiwango cha kuwadanganya wasio fahamu. Sana inawezekana ulikulia huko Nyangalata, Busulwangili ama Buyange, basi ndio unajiona unajua sana kwasababu tu unaijfahamu Bullyanhulu.
Nimeona jinsi ulivyo toka povu, hadi umeamua kuyataja na matimba kwakukazia ili nikuone unajua..... tehteehhh
Akili za watu wanaofikilia kufanya kazi na makampuni pekee. Elekeza akili katika kujiajiri.Mkuu, ebu acha kupotosha aiseee.....
Kazi ya Geologist sio uchimbaji.
Tena ukitaka kufanya mining kwa kufuata utaratibu mzuri pamoja na kulinda afy ya wafanyakazi hapo lazima upate yafuatayo.
1. Surveyor
2. Mining Engineer
3. Miner
4. Safety officers
5. Geologist
Mkuu, huo ndio mpangilio na mtiririko mzima kuhusu uchimbaji wa madini.
Baada ya huko ndipo unaelekea kwenye kuchakata kifusi madini/proceedings plant
Kumbe ulikua unamaanisha kwamba hiyo ndio kazi ya Geologist....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nakumbuka kuna post moja Dada mmoja aliweka private SMS zako za namna ulivyo kimaadili na ukaishia kumtukana. Kwa kifupi mimi siko katika style hiyo
Hapo sijaorodhesha nafasi za kuajiriwa aiseeeee....Akili za watu wanaofikilia kufanya kazi na makampuni pekee. Elekeza akili katika kujiajiri.
Asante sana mkuu umemjibu vzr hadi nafurahi sana.Shukurani.Kwajinsi ulivyo mpuuzi naona umeshindwa kujibu hoja badala yake umeishia kujikweza kwa kutaja umeweka nini na malipo unayo yafanya ili kusongesha duara/local mining hole.
Kimsingi hayupo jiolojia anae fungamana moja kwa moja na uchenjuaji wa madini, kazi ya jiolojia ni kucheza na aina ama matabaka ya miamba. Jiolojia anahusika sana katika kuujua mwamba na kutoa maelekezo ya aina ya mwamba na viashiria vya kama mwamba Una madini.
Hivyo nakukosoa kwa sauti kwamba Geologist haisiki na hafungamani kabisa na mambo ya Processing plant, na badala yake huko kwenye processing anae husika ni Chemicals Engineer pamoja na Metallurgist.
Naona hapa unazungumzia mambo ya mining kwa kiwango cha kuwadanganya wasio fahamu. Sana inawezekana ulikulia huko Nyangalata, Busulwangili ama Buyange, basi ndio unajiona unajua sana kwasababu tu unaijfahamu Bullyanhulu.
Nimeona jinsi ulivyo toka povu, hadi umeamua kuyataja na matimba kwakukazia ili nikuone unajua..... tehteehhh
Kuna mdau nimwmkwaza hapa mkuu, na kwakua wewe ni Geologist by professional..... Naomba utusaidie kuhusu hili, kama ni kweli Processing na Geologist vina fungamana katika mambo ya madini?Asante sana mkuu umemjibu vzr hadi nafurahi sana.Shukurani.
Acha kukurupuka, Plants nyingi zimeajiri Ma geologist kwani pamoja na kuchakata dhahabu wengi wamejikita katika kuwekeza maeneo ya uchimbaji wakitumia wataalamu kama hawa. Kwa taarifa yako tu unavyojitia mjuaji mimi nimewekeza katika uchimbaji niki share na Geologist mmoja ambaye pia amenisaidia sana kupata eneo la uchimbaji lisilo na gharama kubwa za uendeshaji kama la awali ambalo lina maji mengi sana hivyo gharama ya kuendesha natumia pesa nyingi katika Ku Support shimo kwa magogo maarufu kama matimba tangu mwanzo wa shimo hadi sasa. Natumia gharama kubwa katika kunyonya maji kulingana na msimamizi wa shughuli zangu huko(mdogo wangu pamoja na baba mzazi) kwa siku moja natumia zaidi ya litre 15 za petrol. Tangia nishirikiane na huyu Geologist kwanza ameniepusha gharama za awali kwa kuzingatia kuwa na yeye ni shareholder. Unasema nikutajie ni wapi!! ndugu sina mjadala na wewe kwani maeneo ya Bulyanhulu ndiko makuzi yangu.Msaidie basi ndugu yangu mkuu
Kwenye Madini kabisa Geologist anakua No.5, Mkuu hapana utakua hujui kuhusu sisi..au uyo Surveyor unamaanisha exploration Geologist??Unaongelea kuhusu afya vipi haki zao hazipaswi kulindwa, ongezea legal officers na wengineo.Mkuu, ebu acha kupotosha aiseee.....
Kazi ya Geologist sio uchimbaji.
Tena ukitaka kufanya mining kwa kufuata utaratibu mzuri pamoja na kulinda afy ya wafanyakazi hapo lazima upate yafuatayo.
1. Surveyor
2. Mining Engineer
3. Miner
4. Safety officers
5. Geologist
Mkuu, huo ndio mpangilio na mtiririko mzima kuhusu uchimbaji wa madini.
Baada ya huko ndipo unaelekea kwenye kuchakata kifusi madini/proceedings plant
Uzoefu wa mwaka mmoja, ni kwenye Mining/Exploration/Hydrogeology??Wakuu ndugu yangu anatafta kazi za madini(migodini).Ni geologist mwenye degree ana uzoefu wa mwaka mmoja.Ufaulu wake GPA 4.1 ni kijana anaependa kujituma ktk kufanya kazi .Naomba wakuu msaada wenu au kama kuna yeyote anaweza muunganisha yuko tiari kufanya kazi ndani na nje ya nchi endapo atasaidiwa.Yeyote mwenye mapenzi mema ani inbox asante.
Naona unajaribu kunitoa nje ya mada mkuu. Kwanza sijaongelea kabisa mambo ya afya and ect:Kwenye Madini kabisa Geologist anakua No.5, Mkuu hapana utakua hujui kuhusu sisi..au uyo Surveyor unamaanisha exploration Geologist??Unaongelea kuhusu afya vipi haki zao hazipaswi kulindwa, ongezea legal officers na wengineo.
Naomba niongeze mkuu as far as im concerned mimi ni geologist pia, katika mchakato mzima wa uchimbaji geologist ndie mtu wa kwanza kabisa kabla ya wote wale, kama ulivyo sema sisi ni watu wa kutambua matabaka tofauti ya miamba hivyo tunajihusisha na mapping za structure + orientation za ore body (advanced mining) pamoja na kukusanya sampuli kupeleka lab na huko kuna wataalam metallurgist / chemist watatupa majibu.Mkuu, ebu acha kupotosha aiseee.....
Kazi ya Geologist sio uchimbaji.
Tena ukitaka kufanya mining kwa kufuata utaratibu mzuri pamoja na kulinda afy ya wafanyakazi hapo lazima upate yafuatayo.
1. Surveyor
2. Mining Engineer
3. Miner
4. Safety officers
5. Geologist
Mkuu, huo ndio mpangilio na mtiririko mzima kuhusu uchimbaji wa madini.
Baada ya huko ndipo unaelekea kwenye kuchakata kifusi madini/proceedings plant
Kitu kingine ambacho wachangiaji mmeshindwa kuelewa ni kuwa, hapa nimelenga uchimbaji mdogo yaani kama wewe hapo unaamua kuwekeza katika uchimbaji locally sasa badala ya kuchimba kwa mazoea ya kubashiri tu hivi sasa nimeshuhudia maeneo ya Bulyanhulu (vijijini) watu wanaungana (wasomi na wajasiriamali) na kuanzisha uchimbaji. Geologist anatafutwa na analipwa lkn anashawishiwa kuwa shareholder ili kuwapa elemu hawa wengine. Mimi nilishiriki kuambatana na Geologist kunionyesha "Mark" za eneo la kuchimba pamoja na hayo namtumia sana kila baada ya kuongeza kimo cha shimo anapeleka samples maabara. Mimi nilikuwa na lengo kuwa badala ya huyo Geologist kuwaza kuajiliwa ni vizuri akaungane na wachimbaji wadogo wenye PLANTS za kuchenjua dhahabu kuanzisha uchimbaji mdogo na baadae atakuja kujikuta ashakuwa mfanyabiashara. Haiwezekani kila anayesoma na kuhitimu awaze tu kuajiriwaKwenye Madini kabisa Geologist anakua No.5, Mkuu hapana utakua hujui kuhusu sisi..au uyo Surveyor unamaanisha exploration Geologist??Unaongelea kuhusu afya vipi haki zao hazipaswi kulindwa, ongezea legal officers na wengineo.
Haha, haiya Mkuu.Naona unajaribu kunitoa nje ya mada mkuu. Kwanza sijaongelea kabisa mambo ya afya and ect:
Pengine umeni miss understood nilipo taja Safety Officer kwenye huo mtiririko.
Hapa siongelei Geologist kama cheo, hapa ninacho jaribu kukiweka sawa ni kazi ya Geo kwa kufuata mtirirko. Tofauti na mmoja wa wadau alipokua anapotosha kwamba Geo anafungamana na Processing/Uchakataji.
Nikija kwenye msingi wa hoja yako hapo juu, kanza nikukosowe kwamba Exploration haipo kabisa kwenye mtiririko ikiwa mining tayari imeanza. Exploration hufanyika kabla ya kituchochote hata kama hapata kua na ulazima wa kufanya mining "hii inategemea na target ya anaetakaku mine.
Lakini pia exploration huweza kufanyika kwenye migodi mikubwa "Tu" kama Development project wakati wakiendelea na Production.
Labda mkuu, nikupe kidogo mtiririko mzima wa Mining methods ili pengine skunyingine usije ukaaibika kama hapa... tehteehhh
Umemaliza kila kitu mkuu. Na hatua hizo ndizo Geologist ninayefanya kazi nae (amechukua nafasi pia ya ushauri ukizingatia sie hatuna elimu kama hiyo) amepitia hatua zote kama hizo lkn ikumbukwe huyo jamaa anayesema napotosha Mimi nimetoa ushauri kwa huyo msomi anayetaka kuajiriwa kuwa hebu ajaribu kujiunga na wachimbaji(waliowekeza) wenye plants awe mshirika yeye akiwa na mtaji wake (utaalamu/usomi) na wao wakiwa na mtaji (Pesa) mbona baada ya miaka miwili atakuwa si mtu wa kulilia kuajiriwa tena. Na naomba kama anasoma hapa aende Bulyanhulu kijiji cha BUSINDI aone kwa macho haya ninayoyasema. Mimi nilikuwa huko miezi michache tu iliyopita na ninayoyasema nimeyafanya baada ya kupata ushauri kwa wawekezaji wadogo (wafanyabiashara) waliowekeza katika Plants za kuchenjua dhahabu. Huwezi kuwa na plant tu harafu ore materials utegemee kununua tu wakati maeneo ya kuchimba na Mtaalamu (Geologist) unae.Naomba niongeze mkuu as far as im concerned mimi ni geologist pia, katika mchakato mzima wa uchimbaji geologist ndie mtu wa kwanza kabisa kabla ya wote wale, kama ulivyo sema sisi ni watu wa kutambua matabaka tofauti ya miamba hivyo tunajihusisha na mapping za structure + orientation za ore body (advanced mining) pamoja na kukusanya sampuli kupeleka lab na huko kuna wataalam metallurgist / chemist watatupa majibu.
Baada ya hapo zile info zote atapelekewa injinia kwajili ya kuplan mining method ya kutumia ambapo watakuwa wanshirikiana na masurveyor.
Baada ya hapo watakuja watu wa mazingira na wataalam wa bajeti kucheki methods hizo kama ziko safi. Kibongo bongo kama unavojua tena.
Wakipitisha kazi itaanza hapo, lkn kadri mgodi unavoenda geologist bado ataendelea na mapping pamoja na kuchukua sampuli huku injinia nae akiendelea kuhakikisha design ipo sawa pamoja na surveyor mwishoni sampuli zinazotoka pit zina mpitia tena geologist kabla ya kumfikia mchenjuaji huko plant.
Sasa locally kwenye miduara geologist maranyingi wako pale kama miner tu muda mwingine kwasababu kuu moja, miamba ya miduarani inajulikana si lazima utumie utaalamu wa kikiolojia wale mageolojist ufanya kazi lab kidogo ushirikiana na mchenjuaji kwahiyo locally protocol huwa haifwatwi hivyo somehow geologist na mchenjuaji wanaingiliana. Keyword hapa ni 'locally'
Mkuu ungeainisha hapa angalau hiyo kiasi ya mtaji wengi tunatamani kuwekeza huko, hasa hiyo shareholding.Umemaliza kila kitu mkuu. Na hatua hizo ndizo Geologist ninayefanya kazi nae (amechukua nafasi pia ya ushauri ukizingatia sie hatuna elimu kama hiyo) amepitia hatua zote kama hizo lkn ikumbukwe huyo jamaa anayesema napotosha Mimi nimetoa ushauri kwa huyo msomi anayetaka kuajiriwa kuwa hebu ajaribu kujiunga na wachimbaji(waliowekeza) wenye plants awe mshirika yeye akiwa na mtaji wake (utaalamu/usomi) na wao wakiwa na mtaji (Pesa) mbona baada ya miaka miwili atakuwa si mtu wa kulilia kuajiriwa tena. Na naomba kama anasoma hapa aende Bulyanhulu kijiji cha BUSINDI aone kwa macho haya ninayoyasema. Mimi nilikuwa huko miezi michache tu iliyopita na ninayoyasema nimeyafanya baada ya kupata ushauri kwa wawekezaji wadogo (wafanyabiashara) waliowekeza katika Plants za kuchenjua dhahabu. Huwezi kuwa na plant tu harafu ore materials utegemee kununua tu wakati maeneo ya kuchimba na Mtaalamu (Geologist) unae.
Duhhh.....Naomba niongeze mkuu as far as im concerned mimi ni geologist pia, katika mchakato mzima wa uchimbaji geologist ndie mtu wa kwanza kabisa kabla ya wote wale, kama ulivyo sema sisi ni watu wa kutambua matabaka tofauti ya miamba hivyo tunajihusisha na mapping za structure + orientation za ore body (advanced mining) pamoja na kukusanya sampuli kupeleka lab na huko kuna wataalam metallurgist / chemist watatupa majibu.