Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,309
- 15,068
Wivu kwa watu wenye GPA kubwamajority ya watu wenye GPA hizo huwaza siku zote kuwa ni bora zaidi na hivyo kutozingatia kuwa wanapaswa kujifunza kazi mpya wanazopewa na mwisho wa siku wanashindwa kudeliver!! Kwenye ulimwengu wa leo,your deliverance matters,GPA zinafundisha vyuoniiiiiiii