Mining Engineering...

Mining Engineering...

Jeshii

Member
Joined
Jul 9, 2020
Posts
11
Reaction score
0
Habari zenu wana JF,

Naomba mwenye uelewa na hii course anielezee kwenye changamoto ya ajira na nitafanya kazi gani
 
Unaweza ukawa mining supervisor, but ajira zipo now maana Tanzania tumeingia kwenye lower middle income so madini ni muhimu kwenye maendeleo
 
Back
Top Bottom