Mining engineering

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,273
2,648
Ndugu zangu wana jf naomba 2shauriane. Hivi ukiwa Mining engineer unaweza kuajiliwa sehem gani nyingine tofauti na mgodini?. Maana kuna mdogo wangu alihtmu f6 mwaka jana(PCM, matokeo mazuri ila hakuaply na anatarajia kufanya hivyo mwaka huu). Anaonekana kpenda sna kusoma course hii ila mi nataka nimshauri aachane nayo maana naona kama haina soko la ajira siku hizi. Nyinyi mnashauri vpi? Tusaidiane ndugu.
 
mwache aje buzwagi tupige naye kazi....mshahara mzuri sana ..kula ,kulala,kufuliwa bure....tatizo ngozi ndo hakuna sijui atafanyaje
 
Back
Top Bottom