Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,738
- 80,768
- Thread starter
- #141
Kwhyo unapangia watu sehemu ya kumiliki ardhiMashamba tu yamewashinda itakua migodi. Vijana kumiliki ardhi Nairobi ni ndoto za alinacha. Ardhi yenye rutuba inawanufaisha wachache wanaolima mazao ya biashara (maua ya kuwapelekea wazungu) wengi wana kwama kwenye njaa na ufukara. Hiki kilicho fanywa na Magufuli, Uhuru ata apewe awamu 5 hawezi fanya.