Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

Mini-Kabang ya Tigo mnatupeleka wapi?

Jamani Tigo hamueleweki kifurushi cha x treme Tigo to Tigo kupitia number ya maajabu kilikuwa 450 dk 20 leo ni sh. 499 dk 15 kweli mlikuwa mnatafuta wateja mmeshawapata.
 
for the first time baada ya mwaka huu uanze leo nimeweka hela kwenye line yangu ya airtel, tigo imeshakuwa ni majanga na sirudi nyuma katika hili.!!
 
baba lao nao wamewaiga
999 dakika 27 mitandao yote
 
Jamani amieni Airtel kisha piga *148*22# kisha endelea kufanya yako kwa unlimited internet na kuongea kwa sh 1 tu kwenda kotekote,airtel bubu lao


Hakuna lolote hawa walifanya punguzo watu walipojaa wakaongeza gharama kwa nusu. mfano kifurushi cha dakika 650 walikuwa wanakiuza kwa sh. 15,000/= kwa sasa tzs15,000 unapata dakika 350 tu. tigo nao ukijiunga hicho kifurushi cha mwezi ukatumia kabla ya siku 30 huwezi kujiunga tena ukitaka kujiunga hakipatikani. TIGO BORA HATA......................
 
Uko nyuma mkuu katika hilo.....vodacom wanatoa dk 13 na mb 125 kwa shilingi 499

Not anymore. Leo nimenunua kifurushi cha 499 nikapewa dakika 10, SMS 300 na mb 75.. Nimechukiaje?
 
Back
Top Bottom