Minezaliwa upya

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,615
Reaction score
23,112
For majority part of my life,
Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina.

Jibu limekuja,

Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini maishani. Bali kutambua sikupaswa hata kuuliza kabisa.

Leo ndo nimetambua kuwa mimi ni kila kitu na pia sio kitu

Leo ndo nimetambua uhalisia, mimi ni fractal of GOD, meaning mimi ni kioo cha Mungu.

So are watu wote. Na kila kitu.

Sasa naanza kuishi baada ya kuwa muigizaji kama takriban asilimia 99 ya binadamu wengine.

Life, begins today.. πŸ™

Hivi kuna mtu alishawahi kuyaona maisha kama marudio then kuna siku tu unaona kama kuna mlango ya fahamu inafunguka by any chance mpaka wewe mwenyewe unashangaa.

Nimegundua kila kitu unacho kifanya kufikia huu ufahamu ndo kinacho tu fanya tusifikie, including meditation.

Inabidi u surpass the need to do anything, pale ambapo unachagua kufa before hujafa. It's choosing suffering consciously. So today, nimejikuta na ruhusu "mimi" wa ego afe, na niweze kuruhusu mimi halisi azaliwe.

Nachoweza kusema ni kuwa experience ya leo sitoisahau.. Kwanza hata leo ni illusion maana time is timeless.
 
Umeibuka upya kivingine, mpaka keyboard inakusaliti πŸ˜ƒ
 
Kuna ile hali ambapo unatoka kupiga zako nyeto, halafu unakwenda kuangalia mkeka wako, unakuta umetiki. Yaani inakuwa so woooow!!

Ewe mwana JF kama umeshawahi kuipitia hiyo experience basi njoo tusemezane katika Uzi huu.

Cc Mbaga Jr.
Hapo lazima amwagie bao kwenye mkeka, ukienda kuscan unakuta dau limeongezeka 😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…