Mineral Consultant Firm

Mineral Consultant Firm

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Habari,

Tumeanzisha kampuni ya Consultant katika mambo ya Dhahabu na Copper.Hii kampuni itakua inajihusisha na processing
of Gold and Copper mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako ni kupata dhahabu tuu then tutakusaidia na Gharama zetu ni nafuu sana na inahusisha watu Engineers waliokaa katika sekta ya Gold and Copper processing zaidi ya miaka 2.

Karibuni

Mawasiliano 0785804838
 
habari,

tumeanzisha kampuni ya consultant katika mambo ya dhahabu na copper.hii kampuni itakua inajihusisha na processing
of gold and copper mfano ore yako ina dhahabu na copper na nia yako ni kupata dhahabu tuu then tutakusaidia na gharama zetu ni nafuu sana na inahusisha watu engineers waliokaa katika sekta ya gold and copper processing zaidi ya miaka 2.

Karibuni

mawasiliano 0785804838
pengine kwa kuanzia tu mnisaidie hili; hivi kuna vifaa vya elecronic vinavyoweza kupima uwepo wa gold au copper katika ardhi?kama vipo vinapatikana wapi na bei yake ni kaasi gani?
 
Nashukuru kaka na hizo mashine zipo ila hazipatikani huku Tanzania zaidi ya nje ya nchi mfano Uingereza, na Zambia pia zipo mana wao walianza mambo ya madini kabla yetu
 
Sasa mfano barrick,wanajua je kwamba buzwagi kwa mfano kuna gold kabla ya kulihodhi eneo na kuanza kuchimba? Sisi watanzania tukitaka kufanya utafiti wa uwepo wa dhahabu mahali tunatakiwa kuanzia wapi?
 
Habari,

Tumeanzisha kampuni ya Consultant katika mambo ya Dhahabu na Copper.Hii kampuni itakua inajihusisha na processing
of Gold and Copper mfano Ore yako ina dhahabu na copper na nia yako ni kupata dhahabu tuu then tutakusaidia na Gharama zetu ni nafuu sana na inahusisha watu Engineers waliokaa katika sekta ya Gold and Copper processing zaidi ya miaka 2.

Karibuni

Mawasiliano 0785804838

Jashmoe ofisi zenu zinapatikana wapi?
 
Sasa mfano barrick,wanajua je kwamba buzwagi kwa mfano kuna gold kabla ya kulihodhi eneo na kuanza kuchimba? Sisi watanzania tukitaka kufanya utafiti wa uwepo wa dhahabu mahali tunatakiwa kuanzia wapi?

Hapa nadhani unazungumzia NITRON na jamii yake STANDARD DATA ANALYSER.

Hizo machine zipo mkuu bei yake ni nzuri tuu, kama utahitaji karibu katika ofisi yetu BARAKA PLAZA FLOOR YA TATU MIKOCHENI KWA WARIOBA au tembelea website yetu GEOFIELDS TANZANIA. Karibu tuzungumze mkuu OR BIP 0715761787 OR 0768680000
 
Thank you Majita na ukishagundua kwamba kuna dhahabu then unachukua sample na hiyo sample yabidi iwe representative na unapeleka Geological Survey of Tanzania ambayo gharama zao ni cheap sana yan sana compared na wengine mana ni ya Serikali.
majita naomba utaje bei ya hicho kifaa ili kiweze kumsaidia kila mtu
 
kaka kwa sasa hatuna ofisi mana tumeajiriwa wote katika kampuni ya barrick na tunachofanya ni once mtu akihitaji Service then mnapata msaada wetu mana uwa tunafanya kazi wiki 4 na kupumzika wiki 2 na kwa kila muda lazima kuna mmoja wetu yuko Off so pindi mkihitaji msaada then mtampata mmoja wetu ambae yuko off
 
Thank you Majita na ukishagundua kwamba kuna dhahabu then unachukua sample na hiyo sample yabidi iwe representative na unapeleka Geological Survey of Tanzania ambayo gharama zao ni cheap sana yan sana compared na wengine mana ni ya Serikali.
majita naomba utaje bei ya hicho kifaa ili kiweze kumsaidia kila mtu

Bei yake inategemea na makampuni yanayovitengeza pamoja na update ya function zake ndoo maana tunapenda mteja aje ofisini tuzungumze naye kwanza na aelezee main concern yake hasa nini. But kwa haraka haraka ni from USD 60,000 mpaka USD 150,000 na vingine mpaka USD 500,000 -USD 1,000,000
 
Back
Top Bottom