Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

Breaking bad miongoni mwa favorite show muda wote ni masterpiece ile combination kati ya Walter na Jesse ni next level.

Jesse alivyompoteza yule manzi wake ilikuwa ni heartbreaking moments na ilimbadilisha sana..
 
📌

Wakuu naomba hii comment isomwe kama sehemu ya uzi ili uzi huu uwe complete.

Shukrani sana Mkuu, umeeleza mengi sana ambayo yalikuwa ni gaps katika uzi huu. Hats off🫡

Ila kuhusu animation lazima tuzungumze au unaweza toa list yako bora kwa manufaa ya sisi wapenzi wa animation(anime).
 
Ila kuhusu animation lazima tuzungumze au unaweza toa list yako bora kwa manufaa ya sisi wapenzi wa animation(anime).
Ahsante sana kwa mapokeo chanya kutoka kwako.

But kabla sijaandika chochote kuhusu Anime(nina mambo mengi asaiv nikitulia ntaandika content iliyo nyooka), naomba nitoe elimu kidogo kuhusu anime.

Anime sio animation, watu wengi tunachanganya hivi vitu viwili.
Anime is an art form from Japan, filmmaking ya anime ni tofauti sana na filmmaking ya animation za hollywood au sehemu nyingine.

In terms of narration and storytelling, there is nothing like anime, I repeat there is nothing like anime(of course cinema is subjective, its art, you can have your own preferences, its art, art doesn't have a set of rules or principles, art is not written in stone)

Unaweza sema we jamaa unaongea nn kuna kina Steven Spielberg, Martin Scorsese, Christopher Nolan, okay sawa But mind you hakuna watu wezi kama hollywood, they steal a lot of things from anime, alaf wakibanwa wanatumia lugha flani ivi ya kiujanja, wanasema "we took inspiration from it" 😅 😅 😅 wakati huohuo they did not credit the artists wa hio anime.

Utofauti wa anime na hollywood animation ni kwamba anime inatengenezwa na artists.
Anime is artistic to the core.

In my opinion, most anime are mind-f*cks but sikutaka kuziongelea because mtoa mada Best Daddy aliongelea Mind-blowing movies, ndo maana nikaona nikiingiza anime hapa, ntaaribu uzi but kwa sababu kanipa ruhusa, bac nitarudi tena na kuwaletea anime ambazo ukiziangalia vizur, you will open your eyes into a strange yet brilliant artform of cinema known to mankind.
 
TENET ni moja ya picha nzuri but, Man it was too confusing to enjoy.

Naomba nisiongee mengi kuhusu hii filamu maana naweza mvunjia heshima Smart Man "Nolan" , ila I think atakua amepata negative review sana kupitia hii filamu.

Aiseee unaangalia movie uburudike na sio uumize kichwa kuelewa


Nilijaribu kuiangalia nikaona inanichosha wakati mimi nilikua nataka kuangalia movie ni relax
 
we jamaa upo vizuri sana pia unaonekana mkongwe kwenye hii tasnia,

anza kutuandalia uzi mara moja moja ngoja leo nianze na hii list umeweka hapa.
 
Kuna movie zinahitaji akili kubwa kuzielewa na ndio nyingi ya hizi mnazozizungumzi hapa..sio za watu wenye akili za kawaida.,japo kila mtu na taste yake.
 
Another filmmaker who produces films which are mind-f*cks is writter and director M. Night Shyamalan, huju jamaa ni mhindi anayefanya kazi hollywood, napenda sana uandishi wake and his directing style, his filmography imejaa movie ambazo zina muunganiko wa simple drama, science and a supernatural aspect.

My second favourite movie from him is "The Sixth Sense"(1999) sitaki kuielezea sana nitamaliza utamu but ninachoweza kusema ni kwamba it's definitely a mind-f*ck and it has one the best plot-twist of all time, you can't see it coming.

First favourite movie from him is "Unbreakable"(2000), inahusu people who believe they're special, they believe they have supernatural abilities.
It's an interesting topic in my opinion, kwasababu in real life they're people who actually believe they have supernatural powers, na jinsi alivoitengeneza it's somehow 100% believable, kwasababu haina mambo ya ajabu or some crazy edits and visual effects kama za movie za marvel or DC, it's a very simple movie with a very interesting story.

"Unbreakable" ina sequels ambazo ni "Split"(2016) and "Glass"(2019) also written and directed by M. Night Shyamalan, "Split" and "Glass" are good but not as good as "Unbreakable", "Unbreakable" is very captivating and intriguing, something to see for yourself.

Talking about greatest mind-blowing movies, "Unbreakable" is an all-timer for me.
 
Mkuu umetisha.
 
Movie nyingine kali ya Christopher Nolan ambayo haiko based on science ni Insomnia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…