Habari zenu ndugu zangu, tafathali naomba mnisaide kunielekeza vijiji vya singida ambavyo vinakuaga na minada vya mara kwa mara ili niweze kupeleka bishara zangu,naomba pie mnieleze ni siku gani za wiki minada inafanyika katika minada hiyo.mbarikiwe sana sana.natumaini nitapata majibu na msaada kutoka kwa watu wenye busara zao.