Mimi yule naenda kazini

Nyamuleha jr

Senior Member
Feb 20, 2013
185
65
John alionekana kupona hvyo akatolewa kwenye hosptali ya machizi arudishwe kwao.

Asubuhi moja
akachukuliwa akapelekwa hadi jirani na kwake akaulizwa unapafahamu hapa?

John: ndiyo nyumba yangu ilee! Ghafla mlango wanyumba ile ukafunguka wakatoka watoto wawili wamevaa sare za shule,
john: hee watoto wangu wale wanaenda shule
mara akatoka mwanamke
john akafurahi, mke wangu yule jamani mke wangu

madaktari walianza kumfungulia john atoke kwenye gari! Mara akatoka mwanaume kwenye ile nyumba john akaangalia kwa makini kisha akaruka kwa furaha.

Mimi yule naenda kazini unaona nilivyopendeza naile suti ya mariedo niliyonunua somalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom