mimi wazungu nashindwa kuwaelewa akili zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimi wazungu nashindwa kuwaelewa akili zao

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, May 26, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,626
  Trophy Points: 280
  huyu haogopi watu?

  fanya harakaharaka.jpg
  huyu anafanya nini?
  v.jpg
  je huyu ana uja uzito au?
  v2.jpg
  huyu alidhamilia nini?
  v3.jpg
   
 2. a

  allydou JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,485
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  ni vichaaa, mshipa wa aibu ulishawatoka zamani, they are too much carefree, halafu pia, wanapenda kujaribu kila kitu,
   
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Don't be fooled with photodukas... then wash your dirt minds,

  Bora hao kuliko mkata sijui etewkik.......wenye akili sijui kwa nini wanafanya naye kazi na sijui kwa nini wanakubali kufuata upuuzi wake..
  Nasema sijui....

  Karibuni leo nasomeka ****** baa....
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ukiwafuatilia saana watakuchakachua akili...

  But hio in photography kwa wale ambao wako interested in the right place at the right time...
  Ujanja na timing ya photographer... nyingine hua very impressive..
   
 5. blackdog

  blackdog Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  wanaishi kama wanyama wapoli awana aibu hata kidogo.wanafanya kilicho mbele yao
   
 6. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  huyo maza anayekiss hiyo statue anaitamani kw sbb ya saizi yake au?
   
 7. P

  Pomole JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio kama mshipa wa aibu umekatika ila wanapenda sana kurahisisha mambo na pia kujaribu kila kitu.Huwa hawajali kama wanyama vile.usiwafatilie utakuwa mwehu
   
Loading...