Mimi vs Mke wangu=malaika vs shetani

Heri la saba unaweza kumcotrol mkuu

Kwangu mimi huwa nasema ndoa haina fomula,nilishashuhudia hyo ya darasa la saba hadi huruma kwa jamaa,mwanamke kaletwa kama yule wa Prof.J baada ya muda akawa hashikiki.
 
umeona eehhh...kuna watu wana feel good kuanzisha story za kupinga kundi fulani...
kumbe hata ya jana ilikuwa mazungumzo baada ya habari,,,

Hata waje na thread mia ndio tumeshaolewa na ma PhD yetu na haachiki mtu...

Very Interesting!
Kama hujaoa mkuu achana na hizi story zako usije pata bahati mbaya ukapata mke pasua kichwa, Omba Mungu!
 

Hahahahaha....recently umekua na nyuzi za ajabu.....afu nakumbuka ulinambia wewe ni mwanaume mgumu mwanamke hakusumbui...kumbe wenye digrii wanakusumbua hivyo???
 
Tufumbe macho tuiombee ndoa ya Viol
Baba nakuja kwako
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ameen
 
Last edited by a moderator:
umeona eehhh...kuna watu wana feel good kuanzisha story za kupinga kundi fulani...
kumbe hata ya jana ilikuwa mazungumzo baada ya habari,,,

Hata waje na thread mia ndio tumeshaolewa na ma PhD yetu na haachiki mtu...

amesahau kama ni bomu ni bomu tu haijalishi ni wa la saba ama laah....
 

Solution ni kuwaepuka
 
umeona eehhh...kuna watu wana feel good kuanzisha story za kupinga kundi fulani...
kumbe hata ya jana ilikuwa mazungumzo baada ya habari,,,

Hata waje na thread mia ndio tumeshaolewa na ma PhD yetu na haachiki mtu...

Mke ni baraka
 
Mambo ya ndo ni magumu sana kushauri kwa kuwa yanategemeana na aambo mengi saana. Sio jambo la rahisi tu kuamua ghafula au kushauriwa kwa urahisi. Kwa tofauti ya elimu mliyokuwa nayo labda uoe mke mchamungu sana lakini naturally wewe utakuwa na inferiority complex. Pengine mkuu ulioa mke kwa lengo pia msaidiane maisha kwa maana ya kuendesha gharama za maisha jambo ambalo lipo kinyume na mpango wa mwenyezimungu kwamba mwanaume ndiye aawajibike. Hata hivyo haaimaanishi la saba ndio kuna garantii ya kutokuwa na matatizo labda tu unafuu na aina ya matatizo. UNAJUA NDOA YA KWELİ NI WATU MLIOTOFAUTIANA TABIA NA MALEZI KUWEZA KUISHI KWA PAMOJA NA UPENDO pamoja na tofauti mlizokuwa nazo. sasa ushauri wangu kwa kuwa sijui yaliyopita ni kwamba uwawite ndugu wa upande zote mfao kwako mzazi wako au kaka na upande wake kadhalika na myaongee hayo mambo kwa kituo. Kabla ya hapo mnaweza kufanya kikao na marafiki zenu wale waaminifu ambao yeye pia anawaheshimu kama wapo. Yakishindikana hapo unaweza kuyfakisha kwa kiongozi wa kidini mnaposali naye asiklize pande zote na asuluhishe. Kama hatua zote hizo itakuwa imeshindikana basi hapo tena ujue kwamba maisha yenu yamekaadiriwa yaishie hapo. Lengo la ndo kuu ni kuleta utulivu ndani ya nyoyo za wanandoa. Lengo hili linaposhindwa kutekelezeka kimsingi hiyo ndoa inakuwa imeshaparalyse. Si busara kusubiria mpaka mambo ya haribike kabisa na mfano utokee kumfumania kwani yanaweza kutokea mambo ambayo maishani mwako hukuyawaza. Usilazimishe mkuu kama ndoa muumba kapange ndio basi ni sawa na mtu aliyepangiwa kutoka roho hakuna wa kuizuia. Shed no tears take actions. Unaweza kuwa unawaza habari za watoto kwa sasa lakini unaweza kufikiria mambo yakiwa mabaya huko mbeleni mtoto mtakuwa mmemuweka katika hali gani. Unaweza kuniambi jinsi utakavyoibeba aibu mfano ya kufumania wewe na familia yako na marafiki zako. U have to do something mkuu ama msonge mbele kwa amani au mkubali yaishe. samahni kwa gazeti
 
Tufumbe macho tuiombee ndoa ya Viol
Baba nakuja kwako
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ameen

Mkuu form four na la saba ndo mpango
 
Last edited by a moderator:

Tyta tuwekee huu uzi......
 
Last edited by a moderator:

We ndugu umeoa lini? Si ulisema huna mke au kaota ghafla kama uyoga?! Ila haya bhannaa.. Pole
 
Hahahahaha....recently umekua na nyuzi za ajabu.....afu nakumbuka ulinambia wewe ni mwanaume mgumu mwanamke hakusumbui...kumbe wenye digrii wanakusumbua hivyo???

He he he kwani umejuaje sina degree?we haya nitakuvuta kama shish
 

Ndoa ni complicated sana... Daima uhusiano wa watu tofauti nao huwa tofauti vile vile..

Ndoa ni zaidi ya vyeti na si vyema kutanguliza vyeti kama sifa ya kuoa au kuolewa ila bado inamuongezea mhusika sifa zaidi kwa yule anaemuhitaji. Jitahidi kuoa au kuolewa na mtu alie rafiki zaidi kwako badala ya kuangalia urembo au shule ya mtu...hii ni kwa sabab mara nyingi rafiki yako wa kweli ni mtu ambae kwa kiasi kikubwa mnafanana kitabia, mitazamo na hivyo mnaweza kuishi vizuri zaidi.

Tafuta muda ukae na mkeo mzungumze maana suluhisho la matatizo yenu liko baina yenu na sis wengine ni watazamaji tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…