CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 13,000
- Thread starter
-
- #41
alaaa...umakonde siwezi kuuacha unaniongozea ujuzi mkubwa sana...proud to have that in my blood...
kama unaimani tofauti na umakonde just try me!
ukweli utaujua...decently
Iko wapi @stoveh??? yaan natamani hata nikaibe mume wa mmoja anipemo kamimba, make shemeji yenu naona vimebuma!
Mkuu nina allergy na wamakonde, kwa bahati mbaya huwezi kubadili kabila.... Imekula kwako!"
We mpare nini... mbona mbishi hivyo???
Hapo umeondoa yale mengine mweee! hyo allergy imeanzia wapi? ila itaisha tuu
umesahau kuwa we ndo umenifunza ubish?
Shindwa... mie kukufunza wewe, kwani mie mwalimu???
Yaan hiyo haitaisha milele.... Jihesabu ushafail
Wewe mkufunzi wangu.
Nataka saaana shost... yan nawaonea wivuuuu aiseee!!!!
washaunga tela wakutosha
Yaan acha kabisa!!!
Hommie heshimu shemeji yako