Mimi tu, mimi pekeyangu nimebaki


Wewe si ulitoa wa C6 ,tena wa miezi nane na nusu kisa ulizuzuka na miss chit chat... utaisoma namba,
 
Last edited by a moderator:
Hapa..nipo njoo tuchanganye damu zetu! mi nina mixer ya ajabu..cheki nina!, uhaya, unyamwezi, usukuma, uchagga na umakonde, upare na umarekani upo kwa mbaali!! afu changanya na uwewe!!
haya maswala ya uchavushaji kwa njia ya posta au DHL mara kwa bluetooth mara kwa infrared utapata mimba ya ajab ajabu! let me do it natural...
 
Wewe si ulitoa wa C6 ,tena wa miezi nane na nusu kisa ulizuzuka na miss chit chat... utaisoma namba,

Wala sikutoa... ila unajua ilikuwaje, ile mimba ilikuwa ni ya mtasha "Evelyn Salt anajua" nilivyojifungua tu nikamkabidhi baba mtoto, mtoto wake nikaja kugombea Umiss... Asikwambie mtu pesa tamuuuu!!!"!

C6 asisome hapa.
 
Last edited by a moderator:

Umakonde tu ndo.umekuharibia...
 
Mimba mimba,
mimbaaa mimba hiyo,
mimba mimbaa hiyo mimbaa. x2.
 
Umakonde tu ndo.umekuharibia...

alaaa...umakonde siwezi kuuacha unaniongozea ujuzi mkubwa sana...proud to have that in my blood...
kama unaimani tofauti na umakonde just try me!
ukweli utaujua...decently...
copy to my best friend..
MMAHE
 
Last edited by a moderator:
Mimba mimba,
mimbaaa mimba hiyo,
mimba mimbaa hiyo mimbaa. x2.

Iko wapi @stoveh??? yaan natamani hata nikaibe mume wa mmoja anipemo kamimba, make shemeji yenu naona vimebuma!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…